Uchaguzi 2020 PICHA: Tundu Lissu Misungwi, maelfu ya watu wakishuhudia mkutano wake

Misungwi wamekataa kutumika. Sasa najua unahaha kutafuta picha za bukoba uweke hapa. Mi nimeona live na link iko youtube.

Lissu ameshachelewa kuupata urais wa nchi hii, amebakiza uongo tu.
 
Mkapa angesaidiaje?
Watu waliosaidia kwene Kampeni za Magufuli 2015 ni Mhe. Kinana na Mhe. Nnape Nauye. Hawa ndo waliosaidia sana Jiwe kuingia Ikulu.
Leo hii wote 2 Magufuli kawatupa nje baada ya kutofautiana naye kimawazo....!!!
 
Imagine Lissu angekua Rais tangu 2015 aisee sijui tungekua wapi hii nchi. Mashirika na makampuni makubwa duniani lazima yangekuja kuweka Headquarters hapa kama ilivyo Nigeria aisee.
 
Imagine Lissu angekua Rais tangu 2015 aisee sijui tungekua wapi hii nchi. Mashirika na makampuni makubwa duniani lazima yangekuja kuweka Headquarters hapa kama ilivyo Nigeria aisee.
Mbona Magufuli aliwambia AKASHIA waweke headquarter mwaza, kwahio alikosea?.
 
Imagine Lissu angekua Rais tangu 2015 aisee sijui tungekua wapi hii nchi. Mashirika na makampuni makubwa duniani lazima yangekuja kuweka Headquarters hapa kama ilivyo Nigeria aisee.

Linganisha Uchumi wa Tanzania na Nigeria. Nchi gani iko vizuri kiuchumi?
Ukipata jibu hilo rudi Tena!
 
Hakuna lijitu jinga kama Lissu! atapigana hata kama hakuchaguliwa??
 
Ndio maana huwa najiuliza hawa wanaojiita wapinzani ni nini hasa wanachokipinga? maana ukiwaangalia hawaamini wanayoyatetea na kuyapigia kelele.

Juzi tu hapa walikuwa wakimlaumu na kupiga sana kelele kuhusu msimamo wa serikali juu ya corona ila kwakuwa zile kelele hazikuwa katika vitu ambao wao walikuwa wakiamini hivyo na ndio maana haohao sasa hivi wanasifia nyomi za watu kwenye kampeni hawajari tena kama dunia itatutenga wala kujari tena vifo vya kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…