Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!
Angeweka angalizo basi kuwa hii message ni ya Avemaria peke yake ili mtu kama mimi nisijisumbue kuisomammmmh kiukweli situmiagi PM na nilishaifunga siku nyingi mno nadhani ndo sababu ilomfanya aniambie hapahapa.
am no longer in that i just said nashukuru siku jiengage into bad conversations with her as she was expected
Kwamba alitumwa, alikuwa anatafuta umaarufu. Lol like someone was waiting for so long for such chance to happen???????. Kiruuuuuuuuuu ngoja nifike safari yangu!
sipati picha kama ni daimond ndio angekuwa ametotosha wanawake watatu tofauti mtaa wa pili wangemuita malaya kwa herufi kubwa kiasi gani???
Hata mimi nimemshangaa... . !!!
sasa hiyo comment ya data imeunganishwa na yangu niliyomjibu data and conclusion drown kwamba paula kawaita team kiba malaya ndipo hali ya hewa ilipo chafukia
Una habari wewe ni mtu wa ajabu sana? Ulikuwa unatafuta sababu ya ku-argue na mimi, or? Who are you tell me how I'd communicate with a person I want? Ndio maana nimekuuliza are you Avemaria? If NOT, this's how Avemaria responded:From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!
Even in those old days hatukuwa tunawasiliana kwa PM, so kwanini unitake nim-PM? Yaani post moja kwa moja ametajwa Avemaria na ukisoma content moja kwa moja inamuhusu Avemaria personally, sasa wewe ni nani hata uingilie personal za wengine? Kama hufahamu, iko hivi: Ukiona post amekuwa mentioned someone, the post meant for him or her, PERIOD! Likewise, angalia content, is it general or specific for a named person, ukiona specific for a mentioned person fahamu wewe mwingine haikuhusu and only persona anayetakiwa ku-complain ni yule aliyekuwa mentioned! Ukikuta post imekaa hewani, ipo general, unaweza kujishtukia lakini am sorry to say it again, kama wewe sio Avemaria, the post is none of your business unless kama wewe ni msemaje wake otherwise try to your level best to behave.Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
NI maajabu haya... ni angalizo gani ulitaka niweke? Yaani naandika "Plz guys, this post only For Avemaria... come on! Umewahi kuona wapi hiyo? Jamvi hili hili au lingine? To mention her, and her only haikuwa enough kuonesha kwamba the post meant for her? Tena nimeanza "Do you remember this my Dear?" Bado hapo mtu hujafahamu tu kwamba post inamuhusu huyo aliyetajwa? Mwisho wa post nikamkumbushia hadi mambo tuliyokuwa tumeongea three years ago kwenye PM, bado tu mtu usifahamu kwamba this's two people's personal business?Angeweka angalizo basi kuwa hii message ni ya Avemaria peke yake ili mtu kama mimi nisijisumbue kuisoma
Kama ni personal tafuta chumba mjifungie muongee. Huwezi kuja kwenye public forum uwapangie watu kujibu au kutokujibu quote.Una habari wewe ni mtu wa ajabu sana? Ulikuwa unatafuta sababu ya ku-argue na mimi, or? Who are you tell me how I'd communicate with a person I want? Ndio maana nimekuuliza are you Avemaria? If NOT, this's how Avemaria responded:Even in those old days hatukuwa tunawasiliana kwa PM, so kwanini unitake nim-PM? Yaani post moja kwa moja ametajwa Avemaria na ukisoma content moja kwa moja inamuhusu Avemaria personally, sasa wewe ni nani hata uingilie personal za wengine? Kama hufahamu, iko hivi: Ukiona post amekuwa mentioned someone, the post meant for him or her, PERIOD! Likewise, angalia content, is it general or specific for a named person, ukiona specific for a mentioned person fahamu wewe mwingine haikuhusu and only persona anayetakiwa ku-complain ni yule aliyekuwa mentioned! Ukikuta post imekaa hewani, ipo general, unaweza kujishtukia lakini am sorry to say it again, kama wewe sio Avemaria, the post is none of your business unless kama wewe ni msemaje wake otherwise try to your level best to behave.
Wewe hata hujielewi mara hamkuwa mkitumia PM mara mlikuwa mnatumia. Chagua moja basi ueleweke. Kama uliona ni mambo yenu ungeenda PM. Acha kuleta ujuaji mwingi.NI maajabu haya... ni angalizo gani ulitaka niweke? Yaani naandika "Plz guys, this post only For Avemaria... come on! Umewahi kuona wapi hiyo? Jamvi hili hili au lingine? To mention her, and her only haikuwa enough kuonesha kwamba the post meant for her? Tena nimeanza "Do you remember this my Dear?" Bado hapo mtu hujafahamu tu kwamba post inamuhusu huyo aliyetajwa? Mwisho wa post nikamkumbushia hadi mambo tuliyokuwa tumeongea three years ago kwenye PM, bado tu mtu usifahamu kwamba this's two people's personal business?
Kuhusu kuisoma, kwanini ukatazwe kusoma? Shida inakuja pale unapojitwisha zigo na kulifanya lako! Let's stop this...
Wewe unapaswa kupewa kiwango kikubwa cha kupuuzwa! Kujibu quote ipi? Hivi mimi na wewe ni nani anatakiwa kutiliwa shaka kuhusu uzima wa kichwani mwake? Kini nimeshawahi kuku-quote zaidi ya wewe kudandia message ambayo nimemwandikia mtu mwingine huku hata ujumbe ukionesha kwamba unamuhusu yeye? Mbaya zaidi hata mwenyewe niliyemuandikia amekushangaa wewe unabaki kupiga kelele... hivi hudhani ndie unaetakiwa kuangaliwa ikiwa kichwani ni mzima? Nimeshawahi kuku-quote popote wewe? Nimeshawahi kuku-mention popote wewe? Hivi wewe unaedandia posts ambazo hazikuhusu na mimi ni nani mwenye tabia za kike?Kama ni personal tafuta chumba mjifungie muongee. Huwezi kuja kwenye public forum uwapangie watu kujibu au kutokujibu quote.
We ni mzima kweli kichwani kweli? Yaani hutaki kujibiwa ila unadhani una haki ya kujibu wengine. Ndio maana kuna mtu mmoja alikuuliza ulianza kabisa kuongea kama wanawake ili tusikushangae baadaye. Inawezekana alikuwa sahihi sana.
Baada ya wewe kuendelea kukomalia kwa issue ambayo hata muhusika mwenyewe ameielewa kv sio mara yangu ya kwanza kuongea nae, akakujibu na wewe kwamba:Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
Sasa hivi hujishangai hata kidogo? Hivi mzima kweli wewe? Muhusika mwenyewe kaona okay... kaniambia mimi na kakuambia wewe pia, lakini bado unashupalia, we jamaa wa wapi wewe? Unatafuta nini? Hivi unavyoshupalia vitu visivyokuhusu kwa watu usiowajua, vipi ukisikia kwamba mimi na yeye ni ndugu? Jisikie aibu... mind your business! Jibu general post lakini sio kudandia post ambazo moja kwa moja zinaonesha ameandikiwa mtu specificmmmmh kiukweli situmiagi PM na nilishaifunga siku nyingi mno nadhani ndo sababu ilomfanya aniambie hapahapa.
NARUDIA, wewe una matatizo! Kama una stress zako usizilete hapa! Ungekuwa unatumia akili kidogo tu ungegundua kwamba ni wewe ndie hujielewi wala kujitambua! Na kwavile hujitambui na unapenda kudandia treni kwa mbele ndio maana wala hufahamu huyo Avemaria nilianza ku-interact nae lini! Na kwavile umedandia treni kwa mbele wala hujui hizo msg nilizosema niliwasiliana nae kwa PM ni zipi na hizo ambazo nimesema tulikuwa hatuwasiliani kwa PM ni zipi!!! Narudia tena, hili suala halikuhusu ndio maana hulielewi na umekuwa ukiongea vitu vya ajabu... halikihusu na wala hulifahamu! Au unataka nikuwekee post zote ambazo nimekuwa nikiongea nae ili upate maono na uweze kujishangaa zaidi?? Vipi jombi? Suala la mwingine umejitwishwa na kulifanya lako.... MAAJABU HAYA hata baada ya huyo mwenyewe kukiri kwamba ni lake na hana tatizo nalo, we unakomalia tu... kheee! Kuna wachangiaji wengi kwenye hii mada lakini peke yako ndio umejibebesha zigo hili... HUJISHANGAI?Wewe hata hujielewi mara hamkuwa mkitumia PM mara mlikuwa mnatumia. Chagua moja basi ueleweke. Kama uliona ni mambo yenu ungeenda PM. Acha kuleta ujuaji mwingi.
Wewe unapaswa kupewa kiwango kikubwa cha kupuuzwa! Kujibu quote ipi? Hivi mimi na wewe ni nani anatakiwa kutiliwa shaka kuhusu uzima wa kichwani mwake? Kini nimeshawahi kuku-quote zaidi ya wewe kudandia message ambayo nimemwandikia mtu mwingine huku hata ujumbe ukionesha kwamba unamuhusu yeye? Mbaya zaidi hata mwenyewe niliyemuandikia amekushangaa wewe unabaki kupiga kelele... hivi hudhani ndie unaetakiwa kuangaliwa ikiwa kichwani ni mzima? Nimeshawahi kuku-quote popote wewe? Nimeshawahi kuku-mention popote wewe? Hivi wewe unaedandia posts ambazo hazikuhusu na mimi ni nani mwenye tabia za kike?
Nakukumbusha, mwenyewe ambae nilimwandikia hivi ndivyo alijibu:Baada ya wewe kuendelea kukomalia kwa issue ambayo hata muhusika mwenyewe ameielewa kv sio mara yangu ya kwanza kuongea nae, akakujibu na wewe kwamba:
Sasa hivi hujishangai hata kidogo? Hivi mzima kweli wewe? Muhusika mwenyewe kaona okay... kaniambia mimi na kakuambia wewe pia, lakini bado unashupalia, we jamaa wa wapi wewe? Unatafuta nini? Hivi unavyoshupalia vitu visivyokuhusu kwa watu usiowajua, vipi ukisikia kwamba mimi na yeye ni ndugu? Jisikie aibu... mind your business! Jibu general post lakini sio kudandia post ambazo moja kwa moja zinaonesha ameandikiwa mtu specific
NARUDIA, wewe una matatizo! Kama una stress zako usizilete hapa! Ungekuwa unatumia akili kidogo tu ungegundua kwamba ni wewe ndie hujielewi wala kujitambua! Na kwavile hujitambui na unapenda kudandia treni kwa mbele ndio maana wala hufahamu huyo Avemaria nilianza ku-interact nae lini! Na kwavile umedandia treni kwa mbele wala hujui hizo msg nilizosema niliwasiliana nae kwa PM ni zipi na hizo ambazo nimesema tulikuwa hatuwasiliani kwa PM ni zipi!!! Narudia tena, hili suala halikuhusu ndio maana hulielewi na umekuwa ukiongea vitu vya ajabu... halikihusu na wala hulifahamu! Au unataka nikuwekee post zote ambazo nimekuwa nikiongea nae ili upate maono na uweze kujishangaa zaidi?? Vipi jombi? Suala la mwingine umejitwishwa na kulifanya lako.... MAAJABU HAYA hata baada ya huyo mwenyewe kukiri kwamba ni lake na hana tatizo nalo, we unakomalia tu... kheee! Kuna wachangiaji wengi kwenye hii mada lakini peke yako ndio umejibebesha zigo hili... HUJISHANGAI?
Mwisho unamalizia niache kuleta ujuaji mwingi... ndio maana nikakuuliza, ulikuwa na lako jambo na ulikuwa unatafuta pa kuliweka? Huo ujuaji ninaojitia nao ni upi? Kukuambia uache kuvamia mambo usiyoyajua chanzo chake? kama ndivyo, narudia tena... this issue is none of your business na wala hufahamu chanzo chake!
I dont get a photo aisee....
Afu wote wa kike