Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Uzazi wa mpango kwani kazaa na mwanamke mmoja ?
Acha kiba asambaze ukoo wake
Au ungelizika kuona na yy anaishia kuchunwa chunwa kama X baba ubaya?

et watoto wa mwenzako mtu anaita kitambulisho cha umalaya jumlisha ngeli mtiti ya kujtetea aenekane kasoma kweli mbio bila kuaga nyonga mwisho wake ksanga raha ya ugumba muulze dadangu anaijua mana mali si kitu mpaka anamtaman muuza mandaz wa ktaan kwetu mana akizima mateja wanambaka ye kila siku anazaa
 

there is were misundestanding come, nimesema kutwa kuchwa kumuita diamond malaya kumbe kuna malaya wenye mpaka identity, hii ilikuwa inaenda diamond kwa kiba, sasa inakuwawaje unataka ionekane its diamond to you??? anyway MY APOLOGY NEVER MEANT TO COME THIS FAR.
 

Nenooo
 

King Mswati. 😛
 

We mdada umeishia memkwa kwani ulijui balaa la kings ? Wanaoa na wanazaa kwa wingi mfano mswati
 
watoto wa mswati wanaishi kwenye palase, in one place like mji, thats the real meanin of king sasa huyu wenu katapanya kama anasia mpunga

Yaani ww kweli bure ao watoto wote wanaishi na kiba mmoja tu alichukuliwa na mama ake kwa ajil ya likizo
 
Kuna watu wana roho ngumu sana humu kama malaika wa kuzimu.

Hao ndio wanashindwa kumuelewa Mwigulu Nchemba kawa good citizen for our National interest.

Anayetaka kuishi kwa roho za chuki na visasi hiyo ni juu yake lakini binadamu kija mwaka unapoingia ni jukumu lako kujitasmini na kuamuwa ujishape vipi.
 
Hongera sana Kiba,mwanamme haui watoto,analea watoto,its your life!!Create em army!!

Kula like 100 wengine watoto wao wameabort mana wanaogopa majukumu.mwanaume hata ukiwa n watoto 10 na hela zipo mbna unawakamata 2 mana wenye stress z kuolewa wapo mamia
 
kama diamond ni mal@ya ali kiba pia ni mala.ya wanachotofautiana ni kuwa diamond anatoka na watu wanaojulikana while ali kiba anatoka na wenzie wa kariakoo

So ao aliozaa nao una uwakika wanatoka kariakoo?
 
#BobMarley wa enzi zetu. Safi sana kijana angalau tofauti na celebrities wengine kama mwenzangu Kanumba hakuwa hata na wakusingiziwa

Kiba bonge l mwanaume anajali sana ndio mana ana familia,mwenzake anatembea n masuperstar njaa washike mimba wafe njaa,wataenda viwanja mda gani au kula vichwa mda gani wakti wa kulea.kiba kweli n king
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…