usiombe mwanaume upitie ktk mazingira ya kuhisi au kuhisiwa umebambikiwa mtoto.
mbaya zaidi mtu ambaye jamii inamuhisi kuwa baba halali wa mtoto huyo,unamfahamu au unafanya naye kazi ofisi moja/mnaishi eneo moja.
huwa inauma sana.binafsi huko nyuma ktk ujana wangu nilishawahi pitia mazingira haya.
sikuchelewa, nilichukua hatua mapema sana kutafuta ukweli.
hatuwezi jua ni hali gani diamond anapitia,ila nina hakika atakuwa anajihisi vibaya,hata kama haonyeshi hadharani.
kwa wazungu isingekuwa shida ila kwa sisi waswahili kuna shida kwasababu tuna ubinafsi wa asili. hatuna tabia kulea mtoto wa mwanaume mwingine.wachache sana wanaweza kufanya hivyo.