TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze.
ππΎ Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo.
ππΎ Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine.
ππΎ Wananchi wakipiga moja ya roketi iliyotunguliwa na majeshi ya Ukraine mapema jana.
ππΎ Majeshi ya Urusi yakivuka mpaka upande wa Ukraine.
ππΎ Sehemu ya wanajeshi wa Ukraine ambao walikuwa katikati ya mji mkuu wakijaribu kuweka usalama kwa raia waliokuwa kituo cha gari moshi jijini Kyiv.
ππΎFamilia nyingi zimekuwa zikiondoka Ukraine na kuelekea nchi jirani ya Poland kuepa vita.
ππΎ Wanawake na watoto wa wanaondoka Ukraine baada ya kuvuka mpaka wa Slovakia na Ukrain.