PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze.

ee80db85-9d1d-4bda-b441-333e298553df.jpg

👆🏾 Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo.

bf9c9473-11df-4b47-86e5-73d0e76a1cd6.jpg

👆🏾 Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine.

3f382fbb-048a-4d38-898c-c6f563b9b922.jpg

👆🏾 Wananchi wakipiga moja ya roketi iliyotunguliwa na majeshi ya Ukraine mapema jana.
16bf0989-3df8-427f-802f-55b9a0de3060.jpg

👆🏾 Majeshi ya Urusi yakivuka mpaka upande wa Ukraine.

7b07007a-2997-4557-8c97-d075cb925b20.jpg

👆🏾 Sehemu ya wanajeshi wa Ukraine ambao walikuwa katikati ya mji mkuu wakijaribu kuweka usalama kwa raia waliokuwa kituo cha gari moshi jijini Kyiv.

520fa394-43db-48cf-8a90-56c034b148ab.jpg

👆🏾Familia nyingi zimekuwa zikiondoka Ukraine na kuelekea nchi jirani ya Poland kuepa vita.


8816dc0b-4331-44c0-add2-5f6abafa001c.jpg

👆🏾 Wanawake na watoto wa wanaondoka Ukraine baada ya kuvuka mpaka wa Slovakia na Ukrain.

940c3441-3a5c-4dce-b1ef-60a2958e7b64.jpg
 
ukraine_1-sixteen_nine.jpg

👆🏾 Wananchi wengi mjini Moscow wanaendelea na maandamano ya Amani kusisitiza kutounga mkono nchi yao kuipiga Ukraine.

Wengi wa wananchi hao wamesema, unapoipiga Ukraine ni sawa na kuwapiga wao, sababu wana ndg, jamaa na maradiki zao kule.

20220226_092128.jpg

👆🏾 ZAWADI YA UZIMA: "Usiichukulie poa kama msaada"
Mtoto huyu alizaliwa mjini Kyiv mara baada ya kupigwa bomu 💔.

FMdaKbdXEAcObKP.jpeg

👆🏾 Dada kutoka Ukraine anasema "Nimejifunza kutumia #Kalashnikov na kujiandaa kuibeba, inaonekana siku chache zilizopita haingekuja akilini mwangu kufanya maamuzi haya, Wanawake tutalinda udongo wetu sawa na wanaume wetu".
 
Anadharau kama Donald Trump aliye sema nchi zetu ni shit hole countries
 
Unapomwambia ndugu yako jambo la kumuonya asikusikie na ukamsihi bado akawa kiburi,inabidi uchukuwe hatua za kinidhamu dhidi yake,Russia anataka awafundishe adabu Ukraine huku akiifikisha ujumbe kwa wengineo

Ye hana ugomvi na mtu anachelewesha mission ili kujua nani anamgusa kalio, ukishaona ndugu yako analeta dharau jua kuna mtu baki anampa kiburi
 
Unapomwambia ndugu yako jambo la kumuonya asikusikie na ukamsihi bado akawa kiburi,inabidi uchukuwe hatua za kinidhamu dhidi yake,Russia anataka awafundishe adabu Ukraine huku akiifikisha ujumbe kwa wengineo

Ye hana ugomvi na mtu anachelewesha mission ili kujua nani anamgusa kalio, ukishaona ndugu yako analeta dharau jua kuna mtu baki anampa kiburi
Mrusi anatumia nchi ya Ukraine kama njia ili kufikia azma yake kujitutumua kurudi kwenye ukubwa as USA🇺🇸, China 🇨🇳, uoni Kim anavyo chokoza watu kila siku na akiambiwa ndipo anatext mitambo?.

Lengo ni moja tu kuichapa Ukraine ili kujua nani anaingia ili hao wengine pia wachapwe, haijalishi ni marekani au friends of them.
 
View attachment 2131327
[emoji1483] Wananchi wengi mjini Moscow wanaendelea na maandamano ya Amani kusisitiza kutounga mkono nchi yao kuipiga Ukraine.

Wengi wa wananchi hao wamesema, unapoipiga Ukraine ni sawa na kuwapiga wao, sababu wana ndg, jamaa na maradiki zao kule.

View attachment 2131540
[emoji1483] ZAWADI YA UZIMA: "Usiichukulie poa kama msaada"
Mtoto huyu alizaliwa mjini Kyiv mara baada ya kupigwa bomu [emoji174].
Acha uzushi,
Ayo maandamano yametokea Spain Jana mchana.
(Hizo picha umechukua france24)

Russia Ni nchi ya kikomunisti,
Hakuna mbuzi anaweza thubutu kuandamana kipind hiki ambacho president Yuko na jazba isiyomithilika.

Ni sawa na kusema wananchi wa North Korea wameandamana, UTakua unachekesha umma mkuu[emoji2]
 
Back
Top Bottom