Picha: Viongozi wa CCM wanahuruma sana kwa wananchi wasiojiweza; hutembelea masikini na kuwatia moyo

Picha: Viongozi wa CCM wanahuruma sana kwa wananchi wasiojiweza; hutembelea masikini na kuwatia moyo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri.
👇
20230219_143337.jpg
 
Ao ndo mtaji wao. Wanatia watu umasikini wa Akili, umasikini wa uchumi then wanaona ufahari
 
Kuwaonea huruma kunawasaidia nini wananchi au amekwenda kujionesha. Tungemuelewa kama angetatua kero zao, alichofanya hakina tofauti na mzungu kwenda Ngorongoro kushangaa masaai na wanyama wakiishi kijamaa
 
CCM ndiyo imeuleta umaskini ktk hili taifa tajiri kwa mali asili na rasilimali.
 
Back
Top Bottom