Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inaonyesha ni kwa jinsi gani CCM imefanikiwa kuwaingiza wananchi walio wengi, hasa waishio vijijini, katika "vicious cycle of poverty" na hatimaye kuwa ni mtaji wao wa uhakika wa kizazi kisichojielewa na pia kisichokuwa na uwezo wowote wa kuelewa na hata pia wakuweza kuhoji kuhusu haki zao katika mambo yanayowahusu ya kijamii na kiuchumi.Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri.
[emoji116]View attachment 2522929
Na ndio njia pekee ya kufanya unafik ili umtawale mwanadam asiejitambua!!Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri.
👇View attachment 2522929