Picha: Viongozi wa CCM wanahuruma sana kwa wananchi wasiojiweza; hutembelea masikini na kuwatia moyo

Ao ndo mtaji wao. Wanatia watu umasikini wa Akili, umasikini wa uchumi then wanaona ufahari
 
Kuwaonea huruma kunawasaidia nini wananchi au amekwenda kujionesha. Tungemuelewa kama angetatua kero zao, alichofanya hakina tofauti na mzungu kwenda Ngorongoro kushangaa masaai na wanyama wakiishi kijamaa
 
CCM ndiyo imeuleta umaskini ktk hili taifa tajiri kwa mali asili na rasilimali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…