Hapo inaonyesha ni kwa jinsi gani CCM imefanikiwa kuwaingiza wananchi walio wengi, hasa waishio vijijini, katika "vicious cycle of poverty" na hatimaye kuwa ni mtaji wao wa uhakika wa kizazi kisichojielewa na pia kisichokuwa na uwezo wowote wa kuelewa na hata pia wakuweza kuhoji kuhusu haki zao katika mambo yanayowahusu ya kijamii na kiuchumi.