Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

haah!!! isijekuwa kajifungua kabla ya muda jamani lol

Inabidi tuchunguze mwenzangu asije akawa njiti, maana miezi tisa haijatimia, mie nilikua nahesabu ujue?
 
Hahaha ngoja nimstue boss wa insta awe Ana admin pia post za huku mwandiga hata kama ni kiswahili.
 
Paka ,mbwa wanazaa itakuwa yeye Zamaradi kazidi kujipaisha huyo bwana anawatoto kibao na watu wametulia yeye kazaa jiwe mpk iwe habari???

Ndo kinachoshangaza paka kazaa ila macho hajazaa....azae na yeye.Kama macho hajatoka.
 
Kwani Zamaradi anaishi wapi...nataka nikapige picha kijumba chake....maana
 
Sasa Iyo Caption Ya Kwenye Iyo Picha Si Dongo Kwa "Zari"
 
Back
Top Bottom