Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka ,mbwa wanazaa itakuwa yeye Zamaradi kazidi kujipaisha huyo bwana anawatoto kibao na watu wametulia yeye kazaa jiwe mpk iwe habari???
Uko insta naoana leo hapatoshi happy birthday ya kaka manager
Mwenzangu kila mtu anajifanya anamjua
Na bendi anayo kabisa
Kwani Zamaradi anaishi wapi...nataka nikapige picha kijumba chake....maana
Anaanzia wapi kwanza??