Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

DC Bagamoyo ?

Hivi kweli kwenye nchi masikini ya watu milioni 50 wasio na ajira, ni busara kuipa familia moja uwaziri na u-DC ?
Vyeo hivyo wamekuwa navyo kabla ya kuoana

nakukumbusha au nakufahamisha kama ulikuwa hujui

Sitta akiwa Spika wa Bunge Mkewe Magreth alikuwa Waziri wa Elimu

Jakaya akiwa Rais Mtoto wake alikuwa Mbunge


Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mzazi mwenzie Joyce amekuwa Mbunge wa kuteuliwa na chama

Pius Msekwa akiwa Spika, Mkewe Anna Abdalla alikuwa Waziri wa Ujenzi

Julius Nyerere akiwa Rais Mdogo wake John alikuwa Mbunge wa Taifa

Rashid Kawawa akiwa Waziri na Makamu wa pili wa Rais, Mkewe Sofia alikuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa

Mzee Mtei akiwa Chairman wa Chadema, Mkwewe Freeman alikuwa Mwenyekiti wa Bavicha


Mchungaji Mtikila akiwa Mwenyekiti wa DP, Mkewe alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hicho

Zitto akiwa Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Chadema , Mama yake Mzazi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa wa chadema

Magufuli akiwa Rais, Mpwa wake alikuwa Paymaster General wa Nchi

Kijazi mmoja akiwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu nduguye mmoja alikuwa TANAPA kama Mkuu na akawa pia Naibu Katibu Maliasili kwa wakati mmoja

Ndesapesa na Binti yake washakuwa wabunge kwa wakati mmoja kupitia chama kimoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa cha chini hakijawahi kuridhika hata, hapo enyewe nje kinapiga msasa km kawa.

Yu nou zisi? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kauthar Tarimo ni mtt wa Mmiliki Wa Chuo Cha Tanga University, Na bado akaonekana hatoshi kwa mme wake[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wameshiba,mi naona ni kama ni mke mmoja,ukiwa na wanawake zaidi ya mmoja inatakiwa wawe tofauti ili ukiwa nao uwe umafili tofauti sasa hao wote wanene

Wengine tunapenda wanene hata wawe wanne [emoji23][emoji23]
Kila unapoongeza mnene ndio furaha inazidi
Kila mmoja anajipa raha zake
Wengine wanapenda wagomvi wengine wanapenda vimbaombao mradi tunaishi maisha yetu au mnasemaje
 
Back
Top Bottom