Vyeo hivyo wamekuwa navyo kabla ya kuoana
nakukumbusha au nakufahamisha kama ulikuwa hujui
Sitta akiwa Spika wa Bunge Mkewe Magreth alikuwa Waziri wa Elimu
Jakaya akiwa Rais Mtoto wake alikuwa Mbunge
Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mzazi mwenzie Joyce amekuwa Mbunge wa kuteuliwa na chama
Pius Msekwa akiwa Spika, Mkewe Anna Abdalla alikuwa Waziri wa Ujenzi
Julius Nyerere akiwa Rais Mdogo wake John alikuwa Mbunge wa Taifa
Rashid Kawawa akiwa Waziri na Makamu wa pili wa Rais, Mkewe Sofia alikuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa
Mzee Mtei akiwa Chairman wa Chadema, Mkwewe Freeman alikuwa Mwenyekiti wa Bavicha
Mchungaji Mtikila akiwa Mwenyekiti wa DP, Mkewe alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hicho
Zitto akiwa Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Chadema , Mama yake Mzazi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa wa chadema
Magufuli akiwa Rais, Mpwa wake alikuwa Paymaster General wa Nchi
Kijazi mmoja akiwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu nduguye mmoja alikuwa TANAPA kama Mkuu na akawa pia Naibu Katibu Maliasili kwa wakati mmoja
Ndesapesa na Binti yake washakuwa wabunge kwa wakati mmoja kupitia chama kimoja