Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

Vyeo hivyo wamekuwa navyo kabla ya kuoana

nakukumbusha au nakufahamisha kama ulikuwa hujui

Sitta akiwa Spika wa Bunge Mkewe Magreth alikuwa Waziri wa Elimu

Jakaya akiwa Rais Mtoto wake alikuwa Mbunge


Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mzazi mwenzie Joyce amekuwa Mbunge wa kuteuliwa na chama

Pius Msekwa akiwa Spika, Mkewe Anna Abdalla alikuwa Waziri wa Ujenzi

Julius Nyerere akiwa Rais Mdogo wake John alikuwa Mbunge wa Taifa

Rashid Kawawa akiwa Waziri na Makamu wa pili wa Rais, Mkewe Sofia alikuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa

Mzee Mtei akiwa Chairman wa Chadema, Mkwewe Freeman alikuwa Mwenyekiti wa Bavicha


Mchungaji Mtikila akiwa Mwenyekiti wa DP, Mkewe alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hicho

Zitto akiwa Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Chadema , Mama yake Mzazi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa wa chadema

Magufuli akiwa Rais, Mpwa wake alikuwa Paymaster General wa Nchi

Kijazi mmoja akiwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu nduguye mmoja alikuwa TANAPA kama Mkuu na akawa pia Naibu Katibu Maliasili kwa wakati mmoja

Ndesapesa na Binti yake washakuwa wabunge kwa wakati mmoja kupitia chama kimoja
Kunywa soda kwa bajeti yako🤣🤣
 
Nawasiwasi na wakulia mkuu wa wilaya bagamoyo atakua alijitongozesha akalipia na Mali maana waislamu hawana mengi kwenye ndoa
 
Ila Afrikaa na viongozi wake. Sera za maji na ilani yatoka enzi za TANU anapata muda wakutuonesha wake zake. Sina nongwa au kwa nia mbaya ila tu safari ni ndefu mpaka tustaarabike.
 
Maa Shaa Allah, Jumaa Awesu huyu kijana yupo humble sana, namuombea aendelee hivyo hivyo asije akabadilika na wakeze wamtunze wasimuharibu akili.
 
Duuh! Aweso kumbe anakula maraha namna hii ndo maana anakuwaga na mbwembwe nyingi jukwaani...!
 
Back
Top Bottom