Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

Picha: Wake wawili wa Waziri Juma Aweso wakiwa Bungeni

mke mkubwa ni pisi kali htr

huyo zey kama nilimuona akihojiwa cku moja akasema amemruhusu mume wake aoe na kanzu ya kuolea ni yeye alimnunulia

kwa hyo kilimshinda nn akaamua kuingia kwa mwenzie??

au ndo alikuwa anatafta sababu ya kuachika?

wanawake tuna plan ndefu masha Allah.
 
Wenye ndoa mnainjoi thana
Imagine ukigeuka ipo ukigalauka ipo.😋😋
 
mke mkubwa ni pisi kali htr

huyo zey kama nilimuona akihojiwa cku moja akasema amemruhusu mume wake aoe na kanzu ya kuolea ni yeye alimnunulia

kwa hyo kilimshinda nn akaamua kuingia kwa mwenzie??

au ndo alikuwa anatafta sababu ya kuachika?

wanawake tuna plan ndefu masha Allah.
Alikuwa anatafuta wa level zake
 
Vyeo hivyo wamekuwa navyo kabla ya kuoana

nakukumbusha au nakufahamisha kama ulikuwa hujui

Sitta akiwa Spika wa Bunge Mkewe Magreth alikuwa Waziri wa Elimu

Jakaya akiwa Rais Mtoto wake alikuwa Mbunge


Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mzazi mwenzie Joyce amekuwa Mbunge wa kuteuliwa na chama

Pius Msekwa akiwa Spika, Mkewe Anna Abdalla alikuwa Waziri wa Ujenzi

Julius Nyerere akiwa Rais Mdogo wake John alikuwa Mbunge wa Taifa

Rashid Kawawa akiwa Waziri na Makamu wa pili wa Rais, Mkewe Sofia alikuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa

Mzee Mtei akiwa Chairman wa Chadema, Mkwewe Freeman alikuwa Mwenyekiti wa Bavicha


Mchungaji Mtikila akiwa Mwenyekiti wa DP, Mkewe alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hicho

Zitto akiwa Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Chadema , Mama yake Mzazi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa wa chadema

Magufuli akiwa Rais, Mpwa wake alikuwa Paymaster General wa Nchi

Kijazi mmoja akiwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu nduguye mmoja alikuwa TANAPA kama Mkuu na akawa pia Naibu Katibu Maliasili kwa wakati mmoja

Ndesapesa na Binti yake washakuwa wabunge kwa wakati mmoja kupitia chama kimoja
Wema
 
Ngoja awapelekee wenzake wachukue namba za simu.

90% ya wanaume huvunja ndoa zao wenyewe kwa kuwa expose wake zao, maeneo yao ya kazi, kuwatambulisha kwa mkuu wa kazi, kuwapeleka kwenye nyumba za starehe nk
 
Jamaa anaogelea mwenye sea or boobs ass and fat
We huoni uso unawaka tuu na zile stress za hakuna maji hakuna maji.
Ebhana ndoa huondoa mikunjamano ya paji la uso.
#SioNdoaZote
 
Back
Top Bottom