Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nina swali wana jamvi; Je, hivi ni sahihi kutumia picha ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye shughuli za kichama?.

Kama ndio, Je, ni wakati gani? na pia ni wakati gani inatumika picha ya Mwenyekiti wa chama?.

Wataalamu tuelekezane kidogo hapa matumizi sahihi na yasiyo sahihi
 
Kwa kifupi chadema yote imejaa wapumbavu huo ndiyo ukweli hakuna yofauti kati ya chadema na ccm.
 
Msigwa hawezi mtukana lissu hata soku moja!
 
Msigwa ameamua kugeuzwa kikaragosi na vijana wadogo.
 
Ukinunuliwa sharti utumike habari ndio hio
 
Fungu la kumi
 
Aisee Brother hii imeniuma sana. Hapa ni wazi kashikishwa TU Hilo lipicha libaya.
 
Anaonekana kama anajuta kuchelewa kumuunga Mama mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…