CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na amekubali,wakitaka kumshikisha ukuta atapata wapi ujasiri wa kuwakatalia nap wameshakuwa mabosi wake? Inasikitisha sana.Aisee Brother hii imeniuma sana. Hapa ni wazi kashikishwa TU Hilo lipicha libaya.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuKwa kifupi chadema yote imejaa wapumbavu huo ndiyo ukweli hakuna yofauti kati ya chadema na ccm.
Kawa kinyago cha ule mti mkavu sana nimesahau jina lake. Yaani anafanana sana kwa sasa.Nimeongea jana na watu wawili mashuhuri pale Iringa (nahifadhi kwa sasa majina yao wasije potezwa) wakisikitishwa na kitendo anachofanyiwa aliyekuwa mbunge wao halali Peter Msigwa cha kubebeshwa Bango kama vijana wa Chipukizi. Ni kweli kwa sasa Msigwa anatumika kuitukana Chadema na hususani viongozi wake Mbowe na Lissu, na kuchonganisha na wengine.
Hiyo ni mission ya CCM kuelekea uchaguzi, lakini kumdhalilisha kwa kumbebesha mabango kama mzee yatima ni kuwatukana Watu wa Iringa walio wahi kumchagua kwa vipindi viwili huku cha Tatu wakiibiwa kura zao.
Hizi dharau haziendi kwa Msigwa au Chadema bali wana Iringa kuwa walikuwa wajinga kumchagua mtu wa hovyo kama mbeba mabango mpya wa CCM.
Msigwa aliyekuwa anaweza kuhenyeshana na kina Kinana leo hata katibu wa UVCCM Mwembetogwa anaweza kumpa majukumu?
#Wamelia sana!
Una maanisha mti wa Mpingo?Kawa kinyago cha ule mti mkavu sana nimesahau jina lake. Yaani anafanana sana kwa sasa.
Ila mjanja sana anaweza akarudi Chadema na kusema alienda CCM kupeleza; unajua akiongea mara ishirini watu wataamini. Ikiwezekana arudi sasa akakae benchi CDM kuliko benchi la CCM, hasa Iringa, labda ahamie kwao Njombe kule kweli ni CCM
Msigwa anajikomba kwa Lissu ili awasambaratishe. poor methodology.Msigwa hawezi mtukana lissu hata soku moja!
Yeah, MpingoUna maanisha mti wa Mpingo?
Tena hapo uwe umempata mmakonde mahiri wa kuchonga vinyago
Watakataaje wakati wewe ndiye uliyesahihisha mitihani yao na umewatunzia hivyo vyeti?Chadema akili division 0 wote hadi Mwenyekiti wenu Div 0
CHADEMA mnaumia sana kukimbiwa na Mheshimiwa MsigwaDuuh kama wale slay queen wa kubeba vibango pale Kitambaa Cheupe
Chadema imeenda zakeNa ameanza kuzeeka kwa kasi. Hakuna mwanaume atamheshimu mwanamke aliemsaliti mwanaume mwenzake. Zaidi ya kumtumia kimachale nakumuacha msaliti siku zote haaminiki.
There is no short cuts on earthMaskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha
Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.
View attachment 3047689
Ukikubali kuolewa zingatia kulala bila..........Ukishakula vya watu , kubali yote hakuna namna
Kwa umri wake wa miaka 60 kukosa akili ni aibu kubwa sn, acha adhalilikeMaskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha
Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.
View attachment 3047689
Huyu mzee mbele ya madaraka yupo tayari kuua ukoo wake wote ili apate madarakaUkishakula vya watu , kubali yote hakuna namna
Sahivi amekuwa kama mtoto yatima utumwani Misri, shenzi typePole yake.Karudi kwenye default mode.Katumia miaka mingi kujijenga alafu kajiharibu kwa siku moja.Hapo hana tena agenda yakusaidia wananchi zaidi ya kuisema chadema maana kaungana na wale aliowasema wanatatua matatizo kwakutumia akili zile zile zilizozitengeneza.Hadi sasa hakuna kilichobadilika kwahiyo kaamua kua sehemu ya tatizo kwahiyo kubebeshwa makaratasi ni sawa kwake.
Aibu naona mimi!Singependa kutumia hili neno, Lakini ni kweli Yaani anakuwa kama takataka, labda watampa million 50 halafu bai bai
Kutoa maamuzi wakati wa hasira.Kashikishwa picha utadhani mwizi wa kuku wametoka naye kule Kihesa Kilolo Iringa wanampeka pale central polisi.🤔🤔🤔Inaonekana mchungaji kukosa uenyekiti wa Kanda imemchanganya sana kukubaliana na hiyo Hali itamchukua muda mrefu sana wakati huo atakuwa ameathirika sana kisaikolojia
Njaa haina baunsa mkuu.Kayataka mwenyewe