Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
kumbe mnataka kununua Silaha supermarkert kama Marekani ??
Pigia mstari jibu lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe mnataka kununua Silaha supermarkert kama Marekani ??
Pigia mstari jibu lako
Unafikiri walimchukua kirahisi? Zilipigwa hata baadhi ya polisi wameumia.Ilikuwaje Boni Yai yeye akakamatwa na askari waliovaa kiraia huku raia wakishuhudia?
Naunga mkono hoja. Watu kama hao dawa yao ni kujichukulia tu sheria mkononi ili iwe fundisho kwa wapumbavu wenzao wengine.Hivi kwanini wasimchomwe moto watu kama hao? Wakigeuzwa majivu ndiyo itakuwa fundisho.
maamae askari ana sura ya kichaga na kavaa yeboyebo hata mimi ningegoma walahi.Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Danger veryKazi kweli kweli, Hatari sana.
Job true ture, Danger really.
Kwa wakurya syoHao police wangepigika wakachakaa si unaona kule mara trafiki kapigika mbaya kisa kwenda kumkamata dereva ndani ya gari
Sahivi kuna uhasama mkubwa unajijengeaNamkumbuka yule IGP enzi za JK. Alikuwa kiongozi mzuri aliyesaidia Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa shetia na kuaminiwa na wananchi. Polisi na raia hawapaswi kuwa na uhasama maana wote tunategemeana.
Naona kumeanza kuchangamkaPolisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Wenzako hapo ni ofisini sio kijiweni pa kupigia soga,hawawezi kufanya huo ujinga halafu kesho wakamatwe.Kukataa tu haitoshi.Ilitakiwa hao polisi wachakae hadi kuelekea kukata moto
Utakamata wangapi?nguvu ya umma haijawahi kushindwa na Dola.wananchi hawajaamua tu lakini wakiendelea huo ukamataji wao wa kujuha wataijua nguvu ya umma ni nini.Mtu huna uniform,huna rb,huna kiongozi yeyote wa serikali za mtaa unamkamata mtu?tofauti na jambazi hapo ni niniWenzako hapo ni ofisini sio kijiweni pa kupigia soga,hawawezi kufanya huo ujinga halafu kesho wakamatwe.
Walichofanya ni kitendo sahihi kabisa,tena kama na waliyezuia asikamatwe wamemshikilia ili isijeonekana walishiriki kuzuia ukamataji.
Wewe ni mmoja wa wanaotetea upumbavu wa wapumbavu humu jamiiforum so acha unafiki.Haya mambo yapatiwe ufumbuzi Ili pasiwepo hofu katika Kukamata na Kukamatwa
Hata wewe unawezafanya hiki walichofanya hao jamaa wa kkoo,ila jambo unalitakiwa kufanya ni kuhakikisha wanayemtuhumu yupo hapo haendi popote,ukimkingia kifua vyema kisha akaondoka zake,nawewe ondoka kabisa hapo.Utakamata wangapi?nguvu ya umma haijawahi kushindwa na Dola.wananchi hawajaamua tu lakini wakiendelea huo ukamataji wao wa kujuha wataijua nguvu ya umma ni nini.Mtu huna uniform,huna rb,huna kiongozi yeyote wa serikali za mtaa unamkamata mtu?tofauti na jambazi hapo ni nini