PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
maamae askari ana sura ya kichaga na kavaa yeboyebo hata mimi ningegoma walahi.
 
Waliita drama sasa wananchi wameamua kuwa dramatic. Loss of trust kwenye hizi taasis ni tatizo kubwa kuliko wao wanavyodhani.

Hili swala la watu kujitambulisha kama "polisi", wanachukua watu halafu watu wanapotea, walipaswa kulichukulia kwa uzito unaostahili, walivyoanza kufanya commedy ndio tunafika hapa. Kariakoo wamepotea vijana wa5 tangu mwaka 2022 Dec, walikuchukuliwa na "askari" hawajaonekana mpaka leo.

Kila mtu afuate sheria, polisi hawako juu ya sheria
 
Namkumbuka yule IGP enzi za JK. Alikuwa kiongozi mzuri aliyesaidia Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa shetia na kuaminiwa na wananchi. Polisi na raia hawapaswi kuwa na uhasama maana wote tunategemeana.
Sahivi kuna uhasama mkubwa unajijengea
Na polisi lazima wAeLewe siku zote mlinda/mleta amani wa kwanza ni mwananchi tu

Ova
 
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Naona kumeanza kuchangamka
 
Kukataa tu haitoshi.Ilitakiwa hao polisi wachakae hadi kuelekea kukata moto
Wenzako hapo ni ofisini sio kijiweni pa kupigia soga,hawawezi kufanya huo ujinga halafu kesho wakamatwe.

Walichofanya ni kitendo sahihi kabisa,tena kama na waliyezuia asikamatwe wamemshikilia ili isijeonekana walishiriki kuzuia ukamataji.
 
Utakamata wangapi?nguvu ya umma haijawahi kushindwa na Dola.wananchi hawajaamua tu lakini wakiendelea huo ukamataji wao wa kujuha wataijua nguvu ya umma ni nini.Mtu huna uniform,huna rb,huna kiongozi yeyote wa serikali za mtaa unamkamata mtu?tofauti na jambazi hapo ni nini
 
Hata wewe unawezafanya hiki walichofanya hao jamaa wa kkoo,ila jambo unalitakiwa kufanya ni kuhakikisha wanayemtuhumu yupo hapo haendi popote,ukimkingia kifua vyema kisha akaondoka zake,nawewe ondoka kabisa hapo.

Polisi ni wapumbavu ila wana nguvu kisheria,unatakiwa kutumia akili sio shibe utapata matatizo.
 
Back
Top Bottom