Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
20220430_114421.jpg
 
Dar ndy kunaongoza Kwa kuliwa nyama za ajabu ajabu,hasa uswahilini

Unakuta jioni mtu amezungukwa na watu kibao unajiuliza anauza nn pale,ukisogea unakuta anauza supu,ukiangalia sasa hiyo supu,unaulizwa unataka koromeo,kwasukwasu,ubongo,nyama nyama au bandama? Watu wanadhani wanakula supu ya nyama ya ng'ombe Tu kumbe supu zingine za ajabu ajabu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
 
Duhh! Hii inatapisha. Huu mtindo wa kula supu hovyohovyo unaweza kukutana na hii kitu
Acha dharau wewe!!! Unasemaje nyama inatapisha wakati wenzio ndy nyama Yao pendwa hiyo?

Jamaa mmoja alikuwa anagombana na mwenzie..jamaa akamwita mwenzie "achana na Mimi we mbwa nini"..jamaa akajibu we mpuuzi nini unagombana na Mimi mbwa anaingiaje kwenye ugomvi wetu,alafu unajua tupo IRINGA,lengo lako ni nini?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Sayansi inasemaje kuhusu kula nyama ya mbwa
 
Kuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
Cha ajabu kipi?
 
Wazee wa kulakula washalishwa sana

Ova
Wewe sio mzee wa kula kula?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 
Kuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
Kiu ya kunywa maji?
 
Mbona nyama ya mbuzi inajulikana ladha jamani
 
Back
Top Bottom