Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Acha dharau wewe!!! Unasemaje nyama inatapisha wakati wenzio ndy nyama Yao pendwa hiyo?Duhh! Hii inatapisha. Huu mtindo wa kula supu hovyohovyo unaweza kukutana na hii kitu
Cha ajabu kipi?Kuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
Wewe sio mzee wa kula kula?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]Wazee wa kulakula washalishwa sana
Ova
Kiu ya kunywa maji?Kuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
Mbona nyama ya mbuzi inajulikana ladha jamaniKuna sehemu walikuwa wanauza supu ya mbuzi kumbe ni ya mbwa, walitundika kichwa, ngozi na miguu ya mbuzi kuaminisha kuwa ni mbuzi. Cha ajabu ukila nyama hiyo na kunywa supu yake unaanza kujisikia kiu kubwa, kumbe umekula mbwa
Kama hao ( hawa ) Mbwa ukiwala Nyama yake inaongeza Nguvu za Kudinda, Kubaioloji na Kukujoa Bao nyingi naomba tuzidi tu Kulishwa nyingi tafadhali.