Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Lizinzi lile libaba ... nakumbuka nikiwa TanroadsMagufuli aliwabeba mtu na shemeji yake na kuwapa ubunge na uwaziri, sijui ni kwa sababu ya kabila
Halafu kuna watu wanasema alikuwa mtetezi sijui wa wanyonge