Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

Magufuli aliwabeba mtu na shemeji yake na kuwapa ubunge na uwaziri, sijui ni kwa sababu ya kabila

Halafu kuna watu wanasema alikuwa mtetezi sijui wa wanyonge
Lizinzi lile libaba ... nakumbuka nikiwa Tanroads
 
Magufuli aliwabeba mtu na shemeji yake na kuwapa ubunge na uwaziri, sijui ni kwa sababu ya kabila

Halafu kuna watu wanasema alikuwa mtetezi sijui wa wanyonge
Inahusiana nini na kukatiza kwao Berlin? Ni mtu mpumbavu pekee anayepambana na mfu,you are among of them!
 
Inahusiana nini na kukatiza kwao Berlin? Ni mtu mpumbavu pekee anayepambana na mfu,you are among of them!
Wafuasi wa mfu ndio mnamleta mfu wenu kila siku mkimsifia, kama inaruhusiwa kumsifia mfu basi iruhusiwe kumponda mfu
 
Natumaini kama Waziri atajifunza Jinsi wenzetu wanavyofanya mambo yao kwa maslahi mapana ya nchi, kisha akirejea nchini kwake atawaambukiza wenzake wa Serikalini namna bora ya kuongoza kwa maslahi mapana ya Nchi...
 
Kipindi kile kuwa msukuma ilikua ni kigezo namba wani kwenye uteuzi.
Qualification kilikua kigezo namba foo
Wasukuma wengi waliokuwa jeshini walikuwa recruited kuwa informers wa jiwe. Ilikuwa balaa
 
Back
Top Bottom