Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Unanikumbusha TV yangu ya zamani ya Pasonic, ukiiwasha inaanza sauti kwanzaaa, halafu picha baadaayeeee, ndo hii sasa tunasubiri pichaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan
Kawakusanya ndugu zake ......ubwabwa ndondo safiii.....wakakesha nae kusubiri picha na TV....mitano tena kwaNamungo....Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Picha yake ametoa macho as if ana hofu fulaniWaziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Wamefuata pilau tu hawa.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Hakuna Rais hapo.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.