Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Great Sir!!!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA
Urafiki wa mashaka
 
🀣🀣🀣🀣 Aisee sasa huyu mungu abariki chama kipi? Ccm chadema cuf act?
 
Wanaokipenda chadema wanatamani Sana hiki chama kifike mbali, wazee wa chadema wamuombe mbowe abaki mshauri wa chama, wamwachie lissu apige mchakamchaka na maccm
 
Hivi lugha ya chadema ni kizungu? Au hiyo slogan ya 'stronger together imelengwa kwa wale wana diaspora wa TAL na mabeberu wake? Kwa nini isiwe 'Umoja ni Nguvu"?

Anyway, hapo Mbowe anaonekana kijana zaidi kuliko Lissu. Kweli age is just a number!
 
Hivi lugha ya chadema ni kizungu? Au hiyo slogan ya 'stronger together imelengwa kwa wale wana diaspora wa TAL na mabeberu? Kwa nini isiwe 'Umoja ni Nguvu"?

Anyway, hapo Mbowe anaonekana kijana zaidi kuliko Lissu. Kweli age is just a number!
Mbowe awe mwenyekiti wa Baraza la wadhamini la chama, huko kunamfaa Sana.Uwenyekiti aachiwe lissuuuu
 
Tatizo mtoa mada huwa ni mtu wa hasira hasira ukimwambia ukweli, lakini kwa uhakika kabisa hapo hakuna cha stronga tugeza, hizo njemba zinachekeana usoni tu ila kwa ndani ni chuki za hatari sana
..lakini ni mfano wa kuigwa, utofauti wa mawazo sio uadui, wenzetu marekani wapinzani wanapiga stori vizuri tu, juzi trump na Obama wamepiga stori kama mabest mpaka vicheko
 
Ayatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe ashafanya takeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

kina sugu washagawa mlungula kwa wapiga kuraπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahiyo ulitgemea kuona watu wamenuniana?

......Hakuna jipya hapo.
 
Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…