Ni kweli, nasikia aliumwa sana had akapoteza fahamu kwa dakikia 29 , nasikia shoga ake aunty ezekiel ndo akamwagia maji baadae akazinduka, sasa ivi madai ndo anaiomba serikali na mamlaka ya mawasiliano TCRA waingilie kati kuhusu watu wanaotukana ovyo mitandaoni
Bina roho mbayaa hata huniitii nimepitwa hiv hivvv
Ndio nina matatizo ya akili so what??
Ww kweli hamnazo..mm sio shabik wa wema lakin uko braza umefka mbali kushabikia ujinga huo,mama mzazi m2 mwngne ww..ndio ata wema alipotea kumuhusisha mtot wa kajala bora angemtukna kajala mwnywe
Wewe kweli hujui dunia inaendeleaje, wema hajawahi kumtukana kajala wala mtoto wake, unaonekana hujui kitu bado, so siwezi kulumbana na wewe ndugu
Sawa boss...ata mm naona ww mjanja na muelewa san,endelea na wajanja wenzio!!.
binamu na wewe siku izi kutwa MMU hutak tena jukwaa pendwa
Na kule njooege kuna umbeaa balaaa
Kule naogopa ntachambwa binamu, sijawazoea watu wa MMU
Wewe kweli hujui dunia inaendeleaje, wema hajawahi kumtukana kajala wala mtoto wake, unaonekana hujui kitu bado, so siwezi kulumbana na wewe ndugu
Makubwa wa huku na kule ni wale walee, ogopa boko haram sio michambo
Mm m2 na akili zang cwez kumfatlia wema anafany nn cna mda wa ktoto kam wko ila nashangaa m2 na akili zako unasuport mwenzio kutukaniwa mzaz tena mama..a u out of ur....nd
Mmh aunty ezekiel nae aka mbeba pochi wa wema kazi anayo, nilikuwa namkubal sana Aunty, toka ajifanye msukule wa wema sepetu sijui nalionaje, yan linapelekeshwa kama msukule wa gwajima, yani ukitak ushoga na wema sharti uwe msukule atakachosema ndo hicho unafanya, na ndio maana haziivi na wolper wala uwoya coz wote wanajiona ma diva
hajanijibu swali
Ngoja nianze kujipendekeza uko binamu
Hyo picha ipo wapi wadau, tujadili vizuriiiiiii
warumi acha kunitamanisha aisee, nicheki hata pm tuone kama yaliyomo yamoNdo nimeipat picha hatimaye, duh kwel watu wanaweza aiseeh, kitu chote hadharan kama kweli vile
Ndo nimeipat picha hatimaye, duh kwel watu wanaweza aiseeh, kitu chote hadharan kama kweli vile
warumi acha kunitamanisha aisee, nicheki hata pm tuone kama yaliyomo yamo