Picha ya mama Wema

Picha ya mama Wema

Kama huu ni upuuzi basi na wewe ni mpuuzi nambar moja

sasa hata kama ukijifanya kuumia haisaidii kama kudhalilishwa kashadhalilishwa tayar, apo akae chini ajiulize kwa nini wamdhalilishe mama yake na sio mama wa mwingine? Akipat jibu sidhan kama hili tatizo litatokea tena, haijalish kama ugomvi wa wema hauhusiani na mama yake au mtu mwingine. Binadamu tuna vichaa vya asili, ukijifanya mjuaji ,kuna watu wanaojua zaid.

Sikiliza mdogo wangu hakuna sababu ya kunitukana hatuwezi fika huko sababu hatupati faida yoyote toka kwa Wema wala Kajala.
Kuumia kweli nimeumia sababu naelewa umuhimu wa mama hapa duniani , namimi pia ni mama .
Mama Wema kashadhalilishwa tunachotakiwa tukemee hizi team sababu tunavyowashabikia kwa upuuzi wanaofanya kesho watafanya kwa wamama wengine.
Kwamfano we unavyofurahi mama Wema kufanyiwa hivyi je watu wakimhukumu mama yako sababu yako utafurahi???
 
wengi wetu tumeumia sana kutokana na mama wema kudhalilishwa ila sioni sababu ya wema kuumia kwani yeye(wema) amekuwa akimdhalilisha mama yake kwa tabia zake mbovu, umalaya kupiga picha za utupu nk nazani mama wema anaumia kila cku na mwanae
 
Kweli inauma sana ndugu, ni bora wangemtukana lile tusi lililozoeleka la mama kuliko walivyomfanyia, hata kama ni editing, inauma yaan ni kama utupu wa mama wema wameuweka hadharani.

Wema hana hadhi ya kuzi promote hizo team, kwanza hazina manufaa yeyote kwake maana sio mwanamuziki kama lady jaydee useme wanamsapoti mwanamuzik wao wala mcheza filamu kusema wananunuaga kazi zake madukani ni miss tu aliyebahatika kuwa maarufu, hizo team awaachie akina diamond na lady jaydee ndo zinawafaa, maana wema team zake ni matusi tu toka hasubuhi had jion hawamsaidiii chochote cha maana
 
Haya ndio hizo team sasaa mi macho yangu

Bora zake jide hanaga team za kipuuz yeye mwambie kutengeneza pesa mtaelewana sio team za bibi bomba kutwa kumfuatilia wolper ,penny na kajala
 
Kweli inauma sana ndugu, ni bora wangemtukana lile tusi lililozoeleka la mama kuliko walivyomfanyia, hata kama ni editing, inauma yaan ni kama utupu wa mama wema wameuweka hadharani.

Wema hana hadhi ya kuzi promote hizo team, kwanza hazina manufaa yeyote kwake maana sio mwanamuziki kama lady jaydee useme wanamsapoti mwanamuzik wao wala mcheza filamu kusema wananunuaga kazi zake madukani ni miss tu aliyebahatika kuwa maarufu, hizo team awaachie akina diamond na lady jaydee ndo zinawafaa, maana wema team zake ni matusi tu toka hasubuhi had jion hawamsaidiii chochote cha maana

Wema ni mtu ambaye hajitambui, badala kutumia umaarufu wake kufanya kazi/kutoa filamu yeye anaona sifa kuwa maarufu wakati haiingizi chochote.
Huwa namhurumia sana sababu anapoteza nafasi/muda mwingi kwenye ujinga.
 
We Acha Tu...Mama Anauma....

Ni kweli ila sometimes sisi watoto ndo tunachochea mama zetu kudhalilishwa, kuna watu hawana staha na hawajalelewa na wazazi so ukiingia anga zao hawaoni hasara kukudhalilisha wewe na familia yako, ndo malipo ya hizo team zake
 
wengi wetu tumeumia sana kutokana na mama wema kudhalilishwa ila sioni sababu ya wema kuumia kwani yeye(wema) amekuwa akimdhalilisha mama yake kwa tabia zake mbovu, umalaya kupiga picha za utupu nk nazani mama wema anaumia kila cku na mwanae

Aahahah umetisha, wema anamdhalilisha mama yake pasipo kujijua
 
kwa hiyo kajala alivyokuwa anadhalilishwa na mwanae na picha za uchi ndo kitu cha kufuraia? Au kwa kuwa wema maarufu ndo mnamtetea?? Ndo ajue sasa hayo maumivu anayoyapat yeye ndo aliyeyapat kajal na mwanae kipind kile baada ya kutukanwa na team za wema na wema mwenyew kukaa kimya, no matter what apate na yeye maumivu ndo aone kuwa kajal alikuwa anaumia pia

Ndo nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu hapo haijalishi hata kama ni mtoto au mkubwa uzalilishaji haufai na ukemewe watu.wanaona case ya.Wema tu.ila.in real sense kipimo upiacho nawe utapimiwa na Wema naye.akemee team yake.kutukana wengne mana kashajifunza sasa
 
hadi siku wema atapogundua yeye ndo huwa anamdhalilisha mama yake na kubadilika ndo yataisha
 
Wema ni mtu ambaye hajitambui, badala kutumia umaarufu wake kufanya kazi/kutoa filamu yeye anaona sifa kuwa maarufu wakati haiingizi chochote.
Huwa namhurumia sana sababu anapoteza nafasi/muda mwingi kwenye ujinga.

Halafu mbaya zaid hizo team zinazotukana wapo karibu sana na wema ,na hata huyo aliyemdhalilisha mama wema sijui anajiita homa ya jiji ni team wema, wema anazisikiliza sana team zake kwa kuwa ndizo zinazomfanya awe juu kwenye mtandao wa IG, sasa hii ndo negative effects matokeo yake wamemdhalilisha mama yake
 
Ndo nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu hapo haijalishi hata kama ni mtoto au mkubwa uzalilishaji haufai na ukemewe watu.wanaona case ya.Wema tu.ila.in real sense kipimo upiacho nawe utapimiwa na Wema naye.akemee team yake.kutukana wengne mana kashajifunza sasa

Wee ana ubavu wa kuwakemea wakat ndo wanamuweka juu instagram?? Hat wangemdhalilisha vip mama yake wema hawez nyanyua mdomo kuhus team yake, anathamini sana umaarufu kuliko heshima yake na familia, hao akina tilda malti na jipange ndo marafik wakuu wa wema uko insta, wenyewe ndo wana m control wema kwa taarifa yako, nashangaa wanaomuonea huruma wema wakat yeye ndo kayatak
 
Ni kweli ila sometimes sisi watoto ndo tunachochea mama zetu kudhalilishwa, kuna watu hawana staha na hawajalelewa na wazazi so ukiingia anga zao hawaoni hasara kukudhalilisha wewe na familia yako, ndo malipo ya hizo team zake

umenena ukweli mtupu
 
warumi umefurahi sana.. roho yako nyeupeeee bila shaka una roho mbaya sana au ww ni mchawi.. au yote mawili
 
Last edited by a moderator:

itakua ni roho au pepo la uchochezi linamsumbua...roho ya uchochez mbaya sana...ndo maana kuna nchi vita haziishi
 
Asiyejua kuwa mimi mchawi nani?? We ndo wa mwisho kujua, pole sana

Hamna mchawi hapa. Mchawi ni yy mwenyewe.na kuendekeza team za kipuuzi let us be honest people.

Hivi mnafuatiliaga teamwema jinsi wanavyodhalilisha watu? Walichofanya team pinzani ni kutafuta angle where they can hurt her most.

Anachotakiwa kufanya ni kuachana na hizo team wala hazimsaidii zaidi ya kumsifia ujinga tu.

Pole mama wema na dada zake wema
 
itakua ni roho au pepo la uchochezi linamsumbua...roho ya uchochez mbaya sana...ndo maana kuna nchi vita haziishi

We kweli mgeni na mimi, wanaonijua wanakushangaa tu mpaka leo hujui kuwa warumi ni mchawi na mchonganishi , pole
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Hamna mchawi hapa. Mchawi ni yy mwenyewe.na kuendekeza team za kipuuzi let us be honest people.

Hivi mnafuatiliaga teamwema jinsi wanavyodhalilisha watu? Walichofanya team pinzani ni kutafuta angle where they can hurt her most.

Anachotakiwa kufanya ni kuachana na hizo team wala hazimsaidii zaidi ya kumsifia ujinga tu.

Pole mama wema na dada zake wema

Waache binamu wanione mchawi,mwanga na mchonganishi ila napenda kuongea vile ilivyo, hizo team zao zikidhalilisha watu ovyo na kutukana hawaoni ila kwa kuwa msukule wao umetukanwa basi wanatak dunia nzima imuonee huruma wakat ukiangalia yeye ndo kayataka.

Wakati wanamtukana wolper ananuka k yeye alikuwa haumii au wolper hana wazazi na ndugu?? Hayo yote watu hawayaoni, wamemtukana sana kajala kuwa alikuwa anajiuza na ni malaya,sijui kwao maskin mbwa wanakaa kota za polisi, sasa apo familia ya kajala imewakosea nini na umaskini wao?? Mbona hili watu hawakuliongelea?? Wanaona ya wema tu kwa kuwa sijui ana nyota sijui mwez wanajua wenyewe, mimi sipend kutetea upuuzi
 
Back
Top Bottom