Picha ya mama Wema

Picha ya mama Wema

Hata tutetee vipi huu upuuzi lakini tutambue ya kuwa kosa moja halifanyi kosa jingine kuonekana si kosa. Kutukanwa kwa Kajala na wema kukaa kimya hakuhalalishi mama wa Wema kutukanwa.
Watu wanafikiri ndivyo watakavyojibu hivi siku ya hukumu kwamba.."wao walimtukana wa fulani ndo maana nikaona na mimi niunge mkono kutukana kwa wa kwao"....
Hizi zinazojiita 'team' zote zimejaa wapuuzi na watu wasio na maadili.Kwa sisi kuendelea kuunga mkono matendo ya timu yoyote ni kujiogesha katika uchafu wao na matope ya upuuzi wao.
Nachukia sana kutukanana hasa kuitukana hii miili ambayo MUNGU ametupa bure kama zawadi.

Heshima Kwako Mkuu.
 
Watu wanamlilia na kumuonea huruma ye ndo kwanza habar hana, si bora angenyamaza kimya...sasa sijui hao wanaomlilia watafanyaje maana mama mwenyew habar hana kabisaa

aibu yao wenyewe aisee!yani hv.bnt.zake wengine wanajisikiaje?!!
 
Kuna dada wa wema mmoja iv sijui tunu ,jina nimesahau ndo na yeye alipost instagram juz kuonyesha jins alivyoumizwa na lile tukio, ila mi nawakubali sana dada zake wema, hata wema atukanwe vip hawawez nyanyua mdomo kuropoka ovyo kwenye vyombo vya habar, nasikia wanamkanya na kumpiga mdogo wao ila sio kujishaua ovyo kwenye vyombo vya habar kama mama wema anavyofanya, tunajua anaumia kama mzazi na ana haki ya kuumia kuhus matukio ya mwanae ila sio kuji expose ovyo kwenye vyombo vya habar na kutukana watu ,kwa sababu mwanae mwenyew tabia zake kipindi cha nyuma zilikuwa chafu , ila siku izi wema kabadilika hana ma scandal machafu labd hizo team zake za ajabu ajabu.
 
mtu mzima hovyoo yule mama nahisi anataka usupastaa
 
Bifu gani hizo zinazo fikia hatua ya kumdhalilisha mama wa mwenzio? huo ni ushamba. ebu nikuulize wewe uliyetengeneza picha hii kama ni mwenye jinsia ya kike, huoni kuwa hata wewe unajidhalilisha kwakuwa nawe ni mwakamke? Ebu tafuteni kazi zs kufanya .
 
mama kama yule mtihani tupu ndo shida ya kuruka stejj hii

nasikia wema kazimia kuhus zile picha, mbona wanaanza kunitia wasi wasi, sasa kama picha za uwongo wanahangaika nazo za nini, au usikute hizo picha za kweli, watu mpak wanajizimisha
 
bongo muvi at work wema ana maisha ya maigizo sana
 
Eti sasa ivi ndo anajifanya kuiomba serikali na tcra kuingilia kati kuhusu watu wanaotukana kwenye mitandao, manina zake mwache akione cha mtema kuni , yan team dengue nimempenda bure, maana timu wema walikuwa wanajifanyag wamepinda na kushindikan
 
mwendawazimu huyooo am sory team wema but i don like the way wema anavyoendesha maisha yake na simpendi.
 
We nae unaomba sorry ya nini?? Kama humpendi mtu si humpend tu, kwan nani atakushikia bango?? Waende zao uko, timu dengue kanifuraisha sana , kawapa kubwa kuliko, wote kimyaaa
 
nasikia wema kazimia kuhus zile picha, mbona wanaanza kunitia wasi wasi, sasa kama picha za uwongo wanahangaika nazo za nini, au usikute hizo picha za kweli, watu mpak wanajizimisha

Ehe Warumi mmh!!! Unahitaji maombi .
 
Back
Top Bottom