kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Ni utani tu. That's all!! RC mshamba huyu du. Ni msimu wa wasukuma. Nasikia "hawakati" may b that's why he is acting uncouthly!!!Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram, kwa jina la Baba_Keagan amepakia ujumbe unaosema ''Naona mipaka ya kazi yako huijuwi. Nenda sasa hivi kituo chochote Cha polic uwambie Makonda kaniambie nije utakuta ujumbe wako''
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mchekeshaji Idris Sultan alipakia picha mbili za Rais Magufuli ambazo zimehaririwa na kuandika maneno haya "Kwa siku moja tukabadilishana kazi ili a-enjoy birthday yake kwa amani''
Ikumbukwe jana ilikuwa ni siku ya kusherekea mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli na watu, taasisi na mashirika mbalimbali ya walituma salamu za siku ya kuzaliwa.
Kuna wengine walienda mbali mpaka kutengeneza video za utani, mfano Mchungaji muhuni, Masanja Mkandamizaji alipakia video ikimuonesha akiimwagia maji picha rasmi ya Rais Magufuli inayotumiwa kwenye ofisi,taasisi na mashirika mbalimbali kwa mujibu wa sheria.
======
UPDATES
Baada ya mchekeshaji Idris Sultan kutakiwa ajisalimishe Polisi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema yupo Tayari kumuwekea Mwanasheria wa kumtetea na kumdhamini Msanii huyo.
Ameyasema hayo kwenye Ukurasa wake wa Twitter. "Nimeambiwa kuna msanii wa vichekesho anatafutwa na polisi, akikamatwa mniambie, nitajitolea mwanasheria wa kwenda kumuwekea dhamana na kumtetea. Rais wetu ni mtu wa watu na imejidhihirisha kwa jinsi wananchi walivyojitolea kumuombea dua siku ya kuzaliwa kwake! Wameonesha upendo". Amesema Kigwangalla.
Fanyeni kazi zenu Sheria ipo ya Makosa ya kimtandao...mnamshadadia Idriss kwa kuwa tu ni celebrity, mbona vijana wengine wamefanya makosa ya mtando na sheria ikachukuwa mkondo wake wakakamatwa na kufunguliwa mashitaka na ushahidi upo.Kijana kainyosha Dar...big up Makonda keep on going don't listen to nonsense
Kumbe zile harakati za kufoji kura wakaletwa mpaka kina Tulia Ackson kinondoni ili Benjamini sitta apate umeya alikuwa analipa fdhila?! kalagabaho.Achana nae huyo alifeli darasa la nne,akafeli darasa la saba,akafeli form two,akafeli form four akanunua cheti Cha Paul akaenda kusoma certificate ya uvuvi nyegezi,kabla ya kwenda Bagamoyo kusoma diploma na kung'ang'ania nyumbani kwa Marehemu Sita.
Baadae atajitokeza baba mwenye nyumba atasema aachiwe huyo kijana then credit imeshapatikana.
Nasubiri ulichosema kinaweza kutimia siku sio nyingi. Tena atamsifia sana na kusema tena alinitengeneza nikatokea kama kijana nimependeza kweli. |
Hivi Trump angekuwa kafunga wangapi?
Kwa niaba ya wananchi, Naenda kumsemea Makonda kwa Mwinyi-Mkuu
Kweli....Kigwangala ajiandae kutimuliwa kama ilivyokuwa kwa Nape.
Kweli....
Kigwa hawezi ligi na Rc wa dar
Atapoteaaa kweupe....
Ova
2020 mbona unaisahau mkuu? Lolote laweza kutokea. Kumbuka hata ndani kwa ndani yuko Jasusi mbobevu ambaye anabebwa na wenye chama!Bado miaka 7 tu huyu jamaa ataishi maisha magumu sana ndani ya CCM itakayokuwepo wakati huo. Maisha huwa yanabadikika haraka saana, ni suala la muda tu haya majigambo aka kujimwambafai yatanyauka kama maua kondeni yaliyokosa maji.
Mambo mengine nikujidhalilisha tu,Rais vitu kama hivi ungekuwa anawakemea hawa anaowateua,kukaa kimya kwa jambo la kijinga kama hili linafikia hatua kama hii inaleta mashaka sana na inamchafua yeye na tangu aingie madarakani kama hujui huyu dogo amemtengeneze watu wengi sana wasiomkubaliWameenda kumpekua nyumbani kwake chini ya ulinzi hawa polisi wana endeshwaje na mkuu wa mkoa? Kwani kosa lake ni picha au kuna la ziada jamani?! kazi ipo.
wana CCM wafia chama ni waoga mno, mnaweza kupanga kupindua MEZA, siku ya tukio ukajikuta umebakia peke yako watu washakula kona kitambo.2020 mbona unaisahau mkuu? Lolote laweza kutokea. Kumbuka hata ndani kwa ndani yuko Jasusi mbobevu ambaye anabebwa na wenye chama!
Watanzania usimuamini yeyote Kwa hilo jiamini mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]wana CCM wafia chama ni waoga mno, mnaweza kupanga kupindua MEZA, siku ya tukio ukajikuta umebakia peke yako watu washakula kona kitambo.