LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Sijaona tatizo hapa, labda wabwekaji tu wa taifa wana tatizo
Ulikuja kwa nia ya kurekebisha tu au na kusema chochote kuhusu hoja iliyopo!!?You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.
You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"
And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.
That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
Mbona mimi naona huyo baba Keagan anatania?
Au nyie ndugu zangu mnaona anamaanisha?
Hapana, apongezwe kwa kuwa amaitendea haki fani yake ya comedy.
Wapi officially panasema baba keagan ni RC?? Akisema hamjui anakosa gani hapo?Kwani amri hutolewa wapi
Hujui kuwa hard copy na soft cop zote ni copies
Kuna jamaa waliwahi kutengeneza sanamu yake, tena akiwa uchi na watu wakawa wanapiga nayo picha.Hivi trump angekuwa kafunga wangapi
Kuna wakati mwingine kuna watu hujifyatuwa akili kabisa....Hajui kama Idris ni comedian ?
Hakuna msala hapo chief, nothing at allIdris kaukwaa msala kimasihara
HahahahahAmehariri picha ya mungu wa Tanzania, amekufuru. Adhabu yake ni kifo
Hapo safi
Makonda embu jikite kwenye mambo ya maana sio huu upuuzi wa kitoto