state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,515
Ndio sultan atajifunziq sero ,kutokujua sheria sio sababu ya kutopata adhabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo nimkwara wa makonda baada ya idriss kuedit picha za Mheshimiwa kuhusu birthday yake.Huyu Baba Keagan ndiyo nani? Uandishi wake unatia mashaka sana. Halafu, mletamada tusaidie tujue kilichotokea . Umeandika kana kwamba tunajua kama wewe. Where is your evidence? Inasikitisha sana!
hahahaha nasubiri maelekezo yakeSijui, nielezee kwa vifungu
baba keagan ndo nan?Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
[emoji23][emoji23][emoji23] na kweli si mpaka umjue mwenye account. Halafu kumbe ni sehemu official ya kutoa amri kwa kiongozi eeee.Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
ni RC wa DarHuyu Baba Keagan ndiyo nani? Uandishi wake unatia mashaka sana. Halafu, mletamada tusaidie tujue kilichotokea . Umeandika kana kwamba tunajua kama wewe. Where is your evidence? Inasikitisha sana!
Kalale mkuu, hujui lolote. Acheni kutuletea na kutulazimishia majina ya ajabuajabu...Kubishana na mabush lawyers sio sehemu ya maisha yangu
Baba Keagan ni nani hasa hadi aagize alivyoagiza? Kwenye maagizo ya kiserikali na kiutendaji, majina yanayopaswa kutumika ni majina halali. Kuna uthibitisho gani kuwa Baba Keagan ni Makonda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli si mpk umjue mwenye accnt. Hlf kumbe ni sehemu official ya kutoa amri kwa kiongozi eeee
Where is a connecting and proving evidence?Baba Keagan
ni RC wa Dar
Where is a connecting and proving evidence?
Kwahiyo amri hutolewa Instagram na Twitter kwa majina bandia?Kwani amri hutolewa wapi
Hujui kuwa hard copy na soft cop zote ni copies
Jibu swali. Kama hujui, kaa kimyaAre we at court or interrogation room?