Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Kosa lake ni nini? Kuvaa suti na tai nyenkundu yaani kavaa sare na mkuu? Au kupiga picha kwenye nembo ya taifa? Kwani Idriss hii nembo haimuhusu? Au kokosea wapi labda? Nielimisheni nami niwaelimishe kaka zangu wasije itwa kituo cha polisi na baba Keagan.
 
Hayo maagizo angekuwa anayatoa kwa wacheleweshaji miradi kama ule aliokurupushwa wa ujenzi wa machinjio vingunguti nk ingekuwa imekamilika na angesifiwa hasa lkn kusumbua watu kwa mambo ya upuuzi kama haya anafail sana vitu vya msingi performance ni karibu na sifuri lkn hivi visivyo na maana anatumia nguvu kweli
 
Kwani huyo Idris si msanii?!,naamini hajafanya kosa hapo ila wataalamu wa sheria watwambie...
 
H
Screenshot_20191030-133907.jpeg
 
Wanadiplomasia na watu wa protocal tafadhalini hata Kama baba zenu ndio waliolipa ada ila elimu yenu tunazihitaji hapa.

HIVI kunatofauti gani kati ya Masudi Kipanya anachokifanya na alichofanya Idrisa? Ngoja tuone yajayo yanavyo meremeta.
 
Where is a connecting and proving evidence?
You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.

You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"

And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.

That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
 
Back
Top Bottom