Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,829
kosa lake ni nini?Ndio sultan atajifunziq sero ,kutokujua sheria sio sababu ya kutopata adhabu
kosa lake ni nini?Ndio sultan atajifunziq sero ,kutokujua sheria sio sababu ya kutopata adhabu
Unajua alama za rais na matumizi yake
Ninakuelewa sanaHuyu Baba Keagan ndiyo nani? Uandishi wake unatia mashaka sana. Halafu, mletamada tusaidie tujue kilichotokea . Umeandika kana kwamba tunajua kama wewe. Where is your evidence? Inasikitisha sana!
Siyo polisi, kaambiwa polic!Tayari kisha ambiwa ku report kituo chochote cha polisi
Kipanya aliwahi kutekwa mzee baba au hukumbuki?nakumbuka miaka ya 2011 baada ya mseven kutoa nyimbo ya hip hop aise watu wa photoshop walifanya yao... ila mbona kina kipanya wanachora sana afu kawaida tu?
Hivi kigwa na konda boy wote si wana tuhuma za kutumia majina ya watu hawa?Makonda kampa kigwangalla kiki bila yeye kujua. View attachment 1248921
Kigwangalla kasha jichukulia point 3 mchana kweupeeeee
Chululuu ni nini kiongozi?Kuna jamaa waliwahi kutengeneza sanamu yake, tena akiwa uchi na watu wakawa wanapiga nayo picha.
Bila kusahau wadada walikuwa wanapiga picha huku wameishika chulululu yake...teh[emoji28]
hii kitu ndio naisikia kwako leoKipanya aliwahi kutekwa mzee baba au hukumbuki?
Alipotea katika mazingira ya kutatanisha then taarifa ikasambaa kwny media then baadae Kipanya akaibuka akasema nashukuru wa-Tz dua zenu Mungu amezisikia niko salama na hakuongea chochote tena.hii kitu ndio naisikia kwako leo
kiufupi sina info yoyoye.
ilikuwaje eti
Ni maumbile ya mbele madogo kama ufutio, ambayo yali funikwa na mtumbo wa yule baba....teh[emoji28]Chululuu ni nini kiongozi?