Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.

You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"

And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.

That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha


Haya mmeingiza Tshs ngapi baada ya kumaliza kibishania Lugha za watu

Tumbafuuuu
 
You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.

You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"

And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.

That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
teacher tuache kidogo plz

tutakuja kwenye grammar badae badae

saivi tunajadili issue sensitive kwa lugha tunazozijua wenyewe
 
You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.

You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"

And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.

That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
Mzee unaijua lugha ya sheria vizur wewe
 
Kipimo kingine cha uzezeta wa vijana wa Lumumba.
Hapa hawajui wasimame wapi, hawa wanaomuunga mkono Bashite ndiobhao hao watakuja kusifu Mkuu akimgeuka mtoto wake .

Watetezi wa CCM wakiwa kwenye Group za Whatsapp huwatishia watu sana matokeo yake huogopa kuwachana lakini humu jukwaa la kazi CCM hawana ujanja mda wote hupigwa 3-0
 
Thihaka sio nzuri,

ningekua baba Keagan ningemuweka ndani mpk

apate msamaha wa Rais
Exaggerations mnazifanya.
Issue INA ubaya gani ukizingatia yeye ni comedian?
Muda wote mnataka userious tu hakuna jokes aaaahh acheni kuwaweka watu kwenye stress zisizo lazima.
 
Kuna kazi za msingi ambazo Makonda anatakiwa kufanya na sio hizi, Ni vyema akaachia polisi kazi zao na yeye afanye zake mfano; Usafi, barabara zilizoharibiwa na mvua, Maji safi na salama, uboreshaji wa shule za kata ie maabara nk.
 
Tunataka kuona je alias inaweza kutumika kwa mamlaka ya kiofisi?

Leo tumeonda Mheshimiwa Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii wenye jina Baba Keegan akiagiza Idrisa Sultan akamatwe.

Kisheria hii imekaaje hasa pale Idrisa Sultan atakaposema hamjui Baba Keagan?

Na je, huko mitaani kuna ma Baba Keagan wangapi? Je, wote ni Paul Makonda?
 
Nchi ya matukio.
Le mutuz na cyprian Musiba kama kawaida yao hutumia fursa kama hizi kutafuna pesa za Bashite wamepeleka Bajeti yao wamelipwa kwa kazi ya kuwasaka watu wa kumtetea Bashite mitandaoni, kufa kufaana wazee wa fursa
 
Na wanasema serikali haifanyi kazi kupitia mitandao.

Hivi kuna number ya msanii asiyokuwa nayo? Kwa nini asiwape polisi wamwite hukohuko badala kutafuta umaarufu kwenye mitandao?
 
Ndiyo hapo sasa!

Mkuu anatoa amri popote bila kuangalia utaratibu unasemaje. Nawaza Idris akikaidi wito kwa kusema mimi simjui Baba keagan ataeleweka au atachukuliwa hatua.
 
Kama ni Mechi

Ushindi nampa Idriss

Tena ushindi wa Magoli 6

Japo sijapenda alichokifanya Idriss hata kwa asilimia 1
 
Kuna kitu kinaitwa taarifa na kitu kina itwa amri ya utekelezaji wewe umeona wapi serikali inatoa amri ya utekelezaji twitter vp kama mhusika haba bundle au simu hana kwa wakati husika amri ni ya kimaandishi ya barua hardcopy ndo inatambulika na kufanyiwa kazi haraka ikiambatana na muhuri na sahihi hiyo softy copy ya kwako scammers wengi na hackers hivyo huwezi fanyia kazi kiserikali kwa mtandao labda kama alitaka tujue kuwa amemwita polisi idrisi kwa taarifa
Kwani amri hutolewa wapi

Hujui kuwa hard copy na soft cop zote ni copies
 
Back
Top Bottom