Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Mpaka mmalize hili. CCM washachukua form wote huko mitaani na Wapinzani watabakia wakibishana Baba Keagan ni nani? Haw watu wanafanya kitu kuktutoa nje ya mstari.
 
Tusipokuwa wajanja, Kigwangala na Makonda watatufanya tuache kuangalia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tubakie tunabishana kuhusu Baba Keagan ni nani. Mpaka tumalize CCM washachukua form wote na kupitishwa bila kupingwa. Akili kumkichwa hapa.
 
Bujibuji,

Siyo tu jina halitambuliki ila hata kosa halitambuliki kisheria na pia amri aliyotoa haitambuliki kisheria. Huku ni kukosa kazi ya kufanya. Tulifukuza wakoloni tukasema wanatunyanyasa lakini huyu jamaa ni zaidi ya mkoloni. Kosa kubwa liko kwa sisi wananchi kukubali kuendeshwa na mtu mmoja namna hii tena karne ya sasa. Kuna wanaosema kuwa analindwa na alimteua lakini mimi nakataa. Sisi wananchi kwa umoaj wetu tukisema hatutaki ni lazima atatusikiliza.
 
Sema jamaa ana nuksi. Yani lolote likimtoka huwa haliishi vyema sijui hajamlipa mganga hela yake
 
Siyo tu jina halitambuliki ila hata kosa halitambuliki kisheria na pia amri aliyotoa haitambuliki kisheria. Huku ni kukosa kazi ya kufanya. Tulifukuza wakoloni tukasema wanatunyanyasa lakini huyu jamaa ni zaidi ya mkoloni. Kosa kubwa liko kwa sisi wananchi kukubali kuendeshwa na mtu mmoja namna hii tena karne ya sasa. Kuna wanaosema kuwa analindwa na alimteua lakini mimi nakataa. Sisi wananchi kwa umoaj wetu tukisema hatutaki ni lazima atatusikiliza.
Naona hujui historia yao! Hapangiwi!! aliishasema yeye na bandari salama hata kama hajui kusoma!!
 
You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.

You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"

And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.

That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
Boss hapa inaongelewa sheria sio lugha... Unajua Legal language wewe?
 
Kama makonda kasema hilo kweli na akaachwa nabadilisha uraia, ni aibu kua nchi moja na tako design hiyo. Ka ni mimi polisi wangenifata nyumbani, siwezi tii amri za kishenzi
 
Back
Top Bottom