Msamehe bure.Unajua alama za rais na matumizi yake
Mnapenda sana kuwa entertained lakini kwa kusakizia wenzenu. Na wewe si ufanye tu kama Idrissa, labda unaweza kupata vifungu vyote mpaka vya vitunguu na nyanya chungu.Sijui, nielezee kwa vifungu
Kwani Baba Keagan yupi alietoa taarifa hiyo?Tayari kisha ambiwa ku report kituo chochote cha polisi
Sio hivyo! akina Keagan wapo wengi sana. Yupi anaeongelewa hapa?We nae unajishaua
umeona eenhWe nae unajishaua
utamuwexa huyo na mbwembwe zakebaba keagan ndo nan?
Anajishau, kujifanya kama ayupo nchiniumeona eenh
Nje ya mada!We nae unajishaua
Hawez kukueleza kwajuwa hata hicho cheo hajui jinsi ya kukiandika...Sijui, nielezee kwa vifungu
Rais au rais??Unajua alama za rais na matumizi yake