Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI YENYE UNYAMA MWINGI Katika picha ambazo viongozi wa juu wa nchi wamepiga katika matukio ya michezo

Picha imejaa Furaha
Picha imejaa Tabasamu
Picha imejaa Matumaini
Picha imejaa Upendo
Picha imejaa Amani

Picha ni Kali

Yaani picha ya "Unyama Mwingi"

Kama kuna mwenye picha bora zaidi alete
View attachment 2710965
View attachment 2710962
Huyo aliyeegamiwa ndo kaifanya picha yote iwe tamu balaa....anakismile fulaaan😘
 
Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI YENYE UNYAMA MWINGI Katika picha ambazo viongozi wa juu wa nchi wamepiga katika matukio ya michezo

Picha imejaa Furaha
Picha imejaa Tabasamu
Picha imejaa Matumaini
Picha imejaa Upendo
Picha imejaa Amani

Picha ni Kali

Yaani picha ya "Unyama Mwingi"

Kama kuna mwenye picha bora zaidi alete
View attachment 2710965
View attachment 2710962
Ime trend na imekaa vizuri kama ukumbusho.
 
Michezo na Suti hizo za Hilary Clinton?

Au Track Suit zilikwisha madukani ?

Ungesema picha ni nzuri nisingebisha hio ni subjective ila unapoongelea michezo alafu nikiona alivyovaa nachelea kuuliza michezo gani hii au Playstation
Labda hii ndio ilikuwa dosari ya selection ya Mavazi.
 
Back
Top Bottom