Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

Huyo aliyeegamiwa ndo kaifanya picha yote iwe tamu balaa....anakismile fulaaan😘
 
Ime trend na imekaa vizuri kama ukumbusho.
 
Michezo na Suti hizo za Hilary Clinton?

Au Track Suit zilikwisha madukani ?

Ungesema picha ni nzuri nisingebisha hio ni subjective ila unapoongelea michezo alafu nikiona alivyovaa nachelea kuuliza michezo gani hii au Playstation
Labda hii ndio ilikuwa dosari ya selection ya Mavazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…