FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Nikiwaza wale waarabu wa OBC waliomilikishwa Loliondo na Ngorongoro wanavyoua Simba tema kwa kujiburudisha, yaani natamani kumtoa mtu koromeo..Hilo la kumchangia pia ni zuri sijui kwa upande wa watu wake wa karibu wana mpango gani, binafsi huyu mama roho inaniuma sana saana hasa ukisikia watu wanavyofisadi miradi na matumizi mabaya ya fedha za uma halafu mtu kama huyu anajitafutia kula ya wanae anahukumiwa miaka yote hiyo.
Mchango ukianza nitag mkuu nitaweka kile nitakachojaaliwa tumtoe huyu mama.
ROHO INANIUMA SAANA SAANA hii dhuluma kwa masikini tuu ndio wanaotenda makosa au kudhulumiwa ardhi na urithi wao.
roho inakuuma kwa huyu ni sahihi, ila ni kwasababu umemwona. huko gerezani kuna wengi na wana hali mbaya kuliko huyu wamefungwa. maliasili ni wakatili sana, na ujue wengi wa watu hawa, ukiondoa wale wa pembe za ndovu, ukiona ni nyama ya kawaida tu hii jua huyo ni mtu masikini kabisa na ni mwanakijiji. wapo wengi sana gerezani na wapo huko kwasababu hawana hela ya kuweka wakili awatetee, hawana hela ya kuhonga wapelelezi na hakimu, matajiri majangili wote wapo nje. shukrani kwa Mungu huyo Tanzania imemuona ila wapo wengi sana wenye hali hiyo ya kimasikini wanaenda gerezani huko. maliasili ni wakatili,wanawapiga sana hao watu, wananyanyasa sana watu, ukitaka kujua uliza mtu yeyote anayekaa karibu na mbuga au game researve kama sisi ambao ndugu zetu ndio wapo huko, hawa watu hawana huruma , kuna maeneo wana historia za kupoteza kabisa watu kwasababu tu ya mnyamapori. maeneo ya chunya huko wana kesi kibao, maeneo ya mbingu kilombero huko, maeneo yanayozunguka ruaha ni shida.Hilo la kumchangia pia ni zuri sijui kwa upande wa watu wake wa karibu wana mpango gani, binafsi huyu mama roho inaniuma sana saana hasa ukisikia watu wanavyofisadi miradi na matumizi mabaya ya fedha za uma halafu mtu kama huyu anajitafutia kula ya wanae anahukumiwa miaka yote hiyo.
Mchango ukianza nitag mkuu nitaweka kile nitakachojaaliwa tumtoe huyu mama.
ROHO INANIUMA SAANA SAANA hii dhuluma kwa masikini tuu ndio wanaotenda makosa au kudhulumiwa ardhi na urithi wao.
sheria ndio inataka iwe na option ya fine. unayo hukumu? weka hapa ili tuichambue si ukute tukamtoa kesho tu hapa. kama hakuweka option, je? alizingatia sababu gani ya msingi? hakuzingatia hata mitigating factors alizotoa huyo mama, au hata hali ya kimasikini au familia kwa kumwangalia kwa uso tu? mwenye judgment aweke hapa tuiochambue.Hiyo option ya Faini hakimu huyo hakuiweka kama mnadala wa kifungo, sijaona sehemu kwamba ni kifungo au faini eti achague, yeue kampa miaka 22 basi. Ndio tunasema huyo hakimu ni shetani mwenye umbo la binadamu
Mafisadi wanavutwa mkojo.Eti kisa mbuzi swala sheria za bongo za ovyoo
swala mkubwa sana mbona, wengine wameenda gerezani kwa kukutwa na ngozi ya chatu, wengine nyoya ya nungunungu tena wameiokota tu porini baada ya nungunungu kulidondosha.Mafisadi wanavutwa mkojo.
Aiseee, utaratibu wa kupata nakala ya hukumu online upoje? Hebu tuipate hiyo hukumu. Na kama hakuweka hiyo option, tuone namna ya kumshtaki huyo hakimu TLS, huu ni ushetani kabisa..sheria ndio inataka iwe na option ya fine. unayo hukumu? weka hapa ili tuichambue si ukute tukamtoa kesho tu hapa. kama hakuweka option, je? alizingatia sababu gani ya msingi? hakuzingatia hata mitigating factors alizotoa huyo mama, au hata hali ya kimasikini au familia kwa kumwangalia kwa uso tu? mwenye judgment aweke hapa tuiochambue.
Ila ni uonezi kabisa na amri ya Rais haipingwiLazima uue soo halafu anaambiwa kabisa kwamba muheshimiwa kasema utakaa miezi mitatu tu halafu utatoka!!
Shida yote ya nini, Rais si yupo, si ampunguzie tu adhabu mwanamke mwenzie. Hana huruma?!!Kibatala na wenzio wamkatie rufaa huyu mama
watu wake wa karibu wakachukue hukumu palepale, sidhani kama hukumu ya subordinate court (wilaya na mkoa) zitakuwa kwenye tofuti ya tanzlii. ingekuwa imesikilizwa High Court tungeshaipata sasaivi. kama hakuweka option huwezi kumshitaki hakimu, hakimu ana immunity, atakachotakiwa kufanya ni kukata rufaa, au la Mahakama Kuu aidha kwa kuwa moved au suo mottu inaweza kuitisha jalada na kufanya revision.Aiseee, utaratibu wa kupata nakala ya hukumu online upoje? Hebu tuipate hiyo hukumu. Na kama hakuweka hiyo option, tuone namna ya kumshtaki huyo hakimu TLS, huu ni ushetani kabisa..
Ipo siku yako utarudi kusoma hii comment yako kwa uchungu mkali sana, siku yako inakujaHata kama unaona sheria haitendi haki, iache ifuate mkondo wake
Mbona ntafurahi sana wakifanya hivyoKibatala na wenzio wamkatie rufaa huyu mama
shida ni kwamba wanawake kama hao gerezani sio huyo mmoja tu, kuna maelfu huko, kwanini ampunguzie huyu tu? kwenye CPA na katiba, kuna kifungu cha Rais cha kutoa msamaha (presidential pardon), msamaha wa Rais anaweza kufanya hivyo. ila kwa spirit ya kimataifa jinsi watu wanavyolinda wanyamapori, na kwa spirit ya Taifa sasaivi jinsi linavyolinda maliasili, kusamehe mtu wa kosa hilo hakuna tofauti na kusamehe kosa lingine kubwa, kwasababu hilo kosa wanaliona kama mojawapo ya makosa makubwa kwa sasa. kwahiyo option njema kwao ni aidha akate rufaa atokee Mahakama Kuu, au tuchange pesa tumlipie faini kwasababu makosa hayo ninavyofahamu huwa na option ya faini au kifungo na hakimu lazima ameweka option hiyo kama hajaweka ni sababu mojawapo ya rufaa au kuomba mapitio. ningekuwa mimi ni hakimu, huyo mama ningempa conditional discharge, yaani kifungo cha nje. shida ni moja sasa, kwa wale waliowahi kumwakilisha mtu wa makosa kama haya mahakamani wanajua, maliasili huwa wanafuatilia hadi kuongea na hakimu au wakili wa serikali inakuwa ngumu.Shida yote ya nini, Rais si yupo, si ampunguzie tu adhabu mwanamke mwenzie. Hana huruma?!!
Hiyo immunity atajua yeye, tutamsulubu humu hadi aombe msamaha..watu wake wa karibu wakachukue hukumu palepale, sidhani kama hukumu ya subordinate court (wilaya na mkoa) zitakuwa kwenye tofuti ya tanzlii. ingekuwa imesikilizwa High Court tungeshaipata sasaivi. kama hakuweka option huwezi kumshitaki hakimu, hakimu ana immunity, atakachotakiwa kufanya ni kukata rufaa, au la Mahakama Kuu aidha kwa kuwa moved au suo mottu inaweza kuitisha jalada na kufanya revision.
Nyuzi haziwezi kuwa nyingi sababu Mods wanaunganisha dakika hiyo hiyo, hata kama unaelezea suala kwa mtazamo na angle tofauti, wao wanaunganisha tu..Mbona ntafurahi sana wakifanya hivyo
Na kama nyuzi zikiwa nyingi za hivi natumaini utasikia kwenye hoja za viongozi
hujui unachokiongea. Sheria imeweka immunity kwa mahakimu na majaji huwezi kuwashitaki kutokana na yale waliyoyafanya wakati wa utekelezaji wa kazi yake. ukimsulubu humu itakusaidia nini, na itamuumiza nini? si unapoteza muda wako tu.Hiyo immunity atajua yeye, tutamsulubu humu hadi aombe msamaha..
🫠 shameNyuzi haziwezi kuwa nyingi sababu Mods wanaunganisha dakika hiyo hiyo, hata kama unaelezea suala kwa mtazamo na angle tofauti, wao wanaunganisha tu..
Tutajuaje sasa, watangaze hadharani basi huo msamahaHawata mfunga miaka 22 wala nn, huyu atachezea mwezi tu watamuachia na onyo kali.