Sijasikia hio. Humo na wapenda midondo lazima walikuwepo!Mbona kuna siku mchungaji wa kanisa la mtongani mwaka jana aliwahi fanya ibada ya wasio olewa mbona alijaza kanisa mpaka nje? Au hakuna aliye toa hiyo habari alijaza watu [emoji848][emoji848][emoji848] mpaka ?
Wako "leba"?Wengine wazazi mbona?
Waoneeni huruma jamani,sie wengine tayari hatuwezi kuongeza tena.Ila haya mambo bwana yanafurahisha sana,hapo unawaona wapole,wanyeyekevu,tangaza kuoa utaambiwa mahari mil.1.,wakati labda ungetegemea utaambiwa jichukulie tu uende zako au ajaribu hata kukutetea usiotoe mahari...!Wakwangu sijampata bado
Soon tu nitakutana nayeWaoneeni huruma jamani,sie wengine tayari hatuwezi kuongeza tena...
Hahaaaa. Mie wacha niwe mchoyo tu jamaani sababu kile kitu kula wengi hapana kwa kweli.Najua hiyo ndio tabia yenu ya "uchoyo", mkishapata neema hamtaki na wenzenu waneemeke, vibaya hivyo kunjueni nafsi banaaa!, huko kwa watano hapana huo mlango mwisho wanne tu.
Hahaaaaa. Lol.Nanyi wanawake punguzeni kuchagua wanaume ili muolewe,mnachagua utafikiri mmewaumba nyinyi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Linafanyika wapi aisee?nikacheze maeneo hayoo!
Mke wangu inawezekana yupo hapo!
Mnh we haya tu, baki choyo zako, sasa nikuulize swali la kizushi........siku moja umekaa kwako ukimsubir la'ziz wako mara paaap karudi baada ya salam za bashasha na upendo mmetulia juu ya sofa anakwambia nimekutafutia mwenzio uje uishi nae msaidiane kwa hali na mali utamjibuje............?.Hahaaaa. Mie wacha niwe mchoyo tu jamaani sababu kile kitu kula wengi hapana kwa kweli.
Ukiwa na mke zaidi ya mmoja,wala huna presha.Huyo mke mmoja tu mwanaume anatoka jasho. Wakiwa wawili au zaidi si kuna hatari ya wanaume kuwa vichaa.
mkuu sio kweli ni free of charge zaidi tu huwa anasema chochote ulichonacho saidia kufanikisha hayo makongamano tena wengi wachangiaji ni wa prayer marathonersNnaona washageuzwa fursa. Hauchelewi kusikia hilo kongamano kulikuwa na kiingilio cha elfu 10-30 kumsikiliza main speaker akiongea
Hahahaaaa. Hata sijui ntamjibuje kwa kweli. [emoji85]Mnh we haya tu, baki choyo zako, sasa nikuulize swali la kizushi........siku moja umekaa kwako ukimsubir la'ziz wako mara paaap karudi baada ya salam za bashasha na upendo mmetulia juu ya sofa anakwambia nimekutafutia mwenzio uje uishi nae msaidiane kwa hali na mali utamjibuje............?.
Tena huyo aliyevaa pink anaonekana ana kiburi sanaPicha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.
Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC
View attachment 769257
Wanaonyesha kuwa warembo, lakini bilabila....
Hahahaaa. Jamaani. Lol.Tena huyo aliyevaa pink anaonekana ana kiburi sana
nimeona tu kamdomo kake kamekaa kisharishari tuHahahaaa. Jamaani. Lol.
Umejuaje sasa?
Kwa vyovyote vile kwa uchoyo wako utakataa, sasa atakuuliza swali uchague moja kati ya haya mawiliHahahaaaa. Hata sijui ntamjibuje kwa kweli. [emoji85]