mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Pole Dada nipe namba yako mi sinaga tabia za uchumba sugu ...Ningekua dar cjui na mm ningeenda.maana huu uchumba sugu nilionao hatari sana
Sijaafiki kichwa cha somo. kwa ninavyowaona bado sio wazee kwa hiyo ingefaa kichwa cha somo kisomeke WASICHANA WANAOTAFUTA KUOLEWA AU WACHUMBA ni hayo hayo tu.Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.
Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC
View attachment 769257
Ilo tatizo lipo dsm peke yake ?
Waombe msaada mikoani.Sivyo ila kwa Dar naona ni zaidi kwa sababu ukiangalia wanaume wenyewe ni shida tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningekua dar cjui na mm ningeenda.maana huu uchumba sugu nilionao hatari sana
Cha kushangaza zaidi leo katika pitapita zangu kwenye page za Fb nimekutana na mtu anaehitaji kufahamu gharama za kwenda Korea,ss sijajua lengo la mhusika ni kwenda kuonana na kina Edwardo au lah!Shidaa sana wajiangalie Mara mbili mbili umorden wao ndio kigezo #1 ikichangiwa na Kuangalia series za kichina kihindi kijapan, Philippines, koreaans au kule kwa kina Erduwardo , Yan unakuta mtu kuanzia asubuh hadi jion anaangalia huo upuuxi na by time ananza kuforget kuwa yy ni mbongo na atakuja kuolewa na mbongo afu kwenye mahusiano umletee umbele , Anachapa lapa afu spidi sana...
Teh, Best kumbe wee mchoyo hivooo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Mie wacha niwe mchoyo tu jamaani sababu kile kitu kula wengi hapana kwa kweli.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaaaa. Mie wacha niwe mchoyo tu jamaani sababu kile kitu kula wengi hapana kwa kweli.
Hii thread ya leo mm ni kucheka tuu kila naposoma hizi comments,acha nicheke kisukuma tuu hihihiiiiiiiiiiiiiiiiiNawasikitikia sana wasichana wanaoishi Dar, sijuwi wanakuwa katika hali gani wakifikisha huo umri huku wakiaangalia kaka zao na utata walionao.
Lile la bibie Faiza AllyMakongamano haya mbona yanachekiaa sana siku hizi, juzi juzi nilisikia kongamano la single maza
Ndio mnapoanzia kuchagua sio?...Kutongozwa si tatizo, ila inakuja anayekutongoza ni nani!?
HahahahahahahahHivi Vijana msiooa mkiongozwa na Ruge mbona mnawatesa hivi kina dada?