Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Mkuu

Huyo kwenye avatar yako ni Mkenya Edi Gathegi,hollywood superstar!

Tuache hayo,hawa wadada wasijali watapata mwenzi tu haina shida,wala wasiwaze!
Yupo kwenye zile movie za "The Twilight saga"...kati ya movie series zilizofanikiwa sana za Hollywood, list ya best movies of all time.
 
mkuu haya maandiko ni kwemye biblia tu au hata quaran na kama wote tunaabudu Mungu moja kwa nini maandiko yatofautiane kati ya dini na dini?
 
Najua hii sio bongo yani wanaume wangekuwa wamekaa nje hapo.....
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
watu wanapenda vya kimboka, na kisumu buku mbili tu hamna shida-unakuwa free na stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…