agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Jamii bado inaamini mwanamke bila mwanaume hajakamilika.Sometimes wanawake waache kujivictimise nadhani...na kuact all desperate..ushawahi sikia kongamano la wasiooa...?.ndoa it takes two ...chill out over time utapata tu jamaa na usipopata basiii fanta ishu zingine
Asilimia kubwa walioolewa ni wakawaida sana,ahaaa.., nikajua mnataka kusema ni wowowowo
Imagine wanawake ndo tungekua tunaona wanaume wanafanya this kind of makongamano hahah js imagine tungewafikiriaje...Jamii bado inaamini mwanamke bila mwanaume hajakamilika.
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.
Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC
View attachment 769257
Si ndio hapoo. Maisha yenyewe mafupi. Uanze kuumizwa kichwa na mambo ya kuoa au kuolewa [emoji2][emoji2][emoji2]Sometimes wanawake waache kujivictimise nadhani...na kuact all desperate..ushawahi sikia kongamano la wasiooa...?.ndoa it takes two ...chill out over time utapata tu jamaa na usipopata basiii fanta ishu zingine
Tatizo wanawake wengi hawana sifa za kuolewa, wengi wapigaji tuu mizinga kibao.Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Aaaah[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]Hivi ni Wasichana wasioolewa au Wasichana ambao hawajaolewa
Ujue tunachanganyikiwa zaidi kwa kuwa tuna mmoja tu ukiwa nao wawili akikuchanganya huyu unaenda kwa mwingine........niliongea na rafiki yangu anao wawili akasema wakati yuko mke mmoja mkewe alikuwa analinga sana na nyodo za kufa mtu lkn baada ya kuoa tu wa pili akili zikamrudia kawa mnyenyekevu balaa na hataki tena kuishi kwa mazoeaHuyo mke mmoja tu mwanaume anatoka jasho. Wakiwa wawili au zaidi si kuna hatari ya wanaume kuwa vichaa.
Linafanyika wapi aisee?nikacheze maeneo hayoo!
Mke wangu inawezekana yupo hapo!
hahaahhaha sasa hatakuwa ana maan. gan?Linafanyika wapi aisee?nikacheze maeneo hayoo!
Mke wangu inawezekana yupo hapo!