Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Sometimes wanawake waache kujivictimise nadhani...na kuact all desperate..ushawahi sikia kongamano la wasiooa...?.ndoa it takes two ...chill out over time utapata tu jamaa na usipopata basiii fanta ishu zingine
Jamii bado inaamini mwanamke bila mwanaume hajakamilika.
 
Mbona wamebeba mabegi Makubwa? Walijua wakitoka hapo wanaenda kuolewa moja kwa moja nini? Ukute ba nyumbani waliaga
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.

Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC

View attachment 769257
 
unajua hili swala linatokana na mashauzi ya hawa mabinti pale boy anakua yupo kwenye kipindi cha kutafuta maisha sasa ile zarau anayomletea yule kijana inamharibu kisaikolojia na yeye akija kupata anaishia kuwachezea tu coz hata moyo wa kupenda hana tena kutokan na mateso aliyopata akiwa hana chochot
 
Binafsi sijapendezwa na aliyepiga picha na kuleta public,Nadhani Lengo la kongamano ni kuwapa darasa.Lkn mwisho wa siku inageuka Kebei na matusi kwao. Itawavunja hari itakapotokea semina nyingine
 
Sometimes wanawake waache kujivictimise nadhani...na kuact all desperate..ushawahi sikia kongamano la wasiooa...?.ndoa it takes two ...chill out over time utapata tu jamaa na usipopata basiii fanta ishu zingine
Si ndio hapoo. Maisha yenyewe mafupi. Uanze kuumizwa kichwa na mambo ya kuoa au kuolewa [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ila sbbu za kutokuolewa zipo nyingi kwanza Kuchagua kwingi na mapozi Konka pili kutafuta perfect haa ushauri ni kwamba ss wanaume tunapotaka kuoa tunaangalia zaid ya wowowo,Je ataweza kulea watoto wangu kimaadili,Je atafaakuonekana mke wa mtu sio anavaa vikaptula.Demu kuvaa sawa lkn mke hapana.Je anaweza kusaidia familia nkisafiri au nkikwama.
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Tatizo wanawake wengi hawana sifa za kuolewa, wengi wapigaji tuu mizinga kibao.
 
"Lipangalo dunian, litakubalika mbingun" yesu alimuachia maagizo haya petro kama papa wa kwanza

Tutoke katka mke mmoja tuingie katka wake wawil, wasaidiz wetu wanazalilika mchna kweupee
 
Huyo mke mmoja tu mwanaume anatoka jasho. Wakiwa wawili au zaidi si kuna hatari ya wanaume kuwa vichaa.
Ujue tunachanganyikiwa zaidi kwa kuwa tuna mmoja tu ukiwa nao wawili akikuchanganya huyu unaenda kwa mwingine........niliongea na rafiki yangu anao wawili akasema wakati yuko mke mmoja mkewe alikuwa analinga sana na nyodo za kufa mtu lkn baada ya kuoa tu wa pili akili zikamrudia kawa mnyenyekevu balaa na hataki tena kuishi kwa mazoea
 
Back
Top Bottom