milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,063
Yule mwenye njano yupo humu kweli nina jambo la kumshirikisha hitaji lake limejibiwaPicha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.
Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC
View attachment 769257
Mkuu umewaza kama mimi inaelekea huyu binti ana bahati sema hajielewiNisaidieni mawasiliano ya huyo mwenye top ya njano nipunguze wasioolewa mtaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha jinsi ke wa humu wanasonya na kuupita huu kwa kasi ya sgr
Hatudanganyiki tupo tupo sanaSi haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua hii sio bongo yani wanaume wangekuwa wamekaa nje hapo.....
Naunga mkono hoja ili tusaidie kupunguza population ya hapo juu wasioolewa aiseemakanisa ya kikristo yaangalie upya sheria,watu waweze kuoa wanawake angalau kuanzia 2
[emoji30] [emoji30] [emoji30]Mbona wabaya wote hapo. [emoji23]
Nini Mzee [emoji23][emoji30] [emoji30] [emoji30]
TupoWaoaji sijui wameenda wapi binamu
[emoji23][emoji23]Alafu bado mahal fulan ,kuna demu anamzengua mchizi,mchizi mpaka analia km mtoto??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiwaona hapo wapoleeeee,unaweza kuona wife material ndani yao LAKINU sasa hamna kituuuuuuu.
Shem umeolewa?Ila walijiweza..naanzaje kuacha mambo ya msingi niende kwenye kongamano..khaa
Haha..bado shemShem umeolewa?