Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.

Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC

View attachment 769257
Yule mwenye njano yupo humu kweli nina jambo la kumshirikisha hitaji lake limejibiwa
 
dah naona idadi ya wanaume na wanawake ina tofauti kubwa sana .... ila wengine wanaleta usanii mtu anachumbiwa bado anafanya mwanaume sio priority anaruka ruka tu na rafiki zake wa kike na wanajazana ujinga
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Hatudanganyiki tupo tupo sana
 
Hadi makongamano ya wasioolewa yapo? Duuh!!!!!! Amini pande hizo nikitokea sikosi namba aisee
 
Je kuna mkutano kama huu ulifanywa ajili ya wanaume pia?
 
Alafu bado mahal fulan ,kuna demu anamzengua mchizi,mchizi mpaka analia km mtoto??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


Ukiwaona hapo wapoleeeee,unaweza kuona wife material ndani yao LAKINU sasa hamna kituuuuuuu.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom