Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Aisee wakishafikaga 25 wanasaka ndoa kwa udi na uvumba mpaka wanakupa mashaka, hapo wanajikuta wanaachia tu mtu akimdanganya nitakuoa basi watu wanajilia mzigo na kusepa na ndio kinachowafanya wasiolewe.
 
Yawezekana mashauzi na machaguzi mengi....
Lakini naona mmoja wao keshatotoa. Kuna kitegemezi kwenye picha hapo. Labda kama ni wa mpiga picha ambaye ameshaolewa amewapa wamshikie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwishowe na sie mabachelor wata sema tuwe na semina elekez
 
Halafu mijamke mingine inariiiiinga ukitaka kukonga nyoyo,maza fanta kabisa.
Wakati utamu tunapata woote.
 
Back
Top Bottom