Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Upumbavu mtupu! Hamna mke hapo ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameponzwa na utii usikubali mwanaume akudanganyeAfu wanakumbana na vigezo vilivyowafanya wawepo hapo in the first place [emoji23][emoji23][emoji23]
sikubaliani sana na wewe wanawake wengi walioenda hapo hawako hivyo sema wanachangamoto kubwa ya kuujua ukweli na hawapendi kuonewa ukiweka ndani lazima mbishane kwa kuwa wako vizuri kichwani sasa wanaume wengi hawapendi challenge wanataka wanawake wa ndio!ila kiukwel kwa mwanamke alie jitunza ni ngumu sana kukosa mume yan ngumu mno sa apo kuna weng hawajaolewa kwa sabbu ya tabia zao mostly kupanga wanaume mishikaki, niwa ase tu wanawake msishindane na wanaume kama ana kimada we usilipize kuwa na mwanaume mwingine jua kwamba mwanaume tangu kitambo walikua na mke zaid ya m1 , ila hi haijatokea kwa wanawake , pia jitunze kuvua chupi b4 marriage kinawagalim weng
sio kwamba tunapenda wanawake wa ndio, sis tunataka heshima atakama una pesa au elimu ukija kwangu usinipand kichwan , hv unajua kuwa w/ke wana adabu hakuna mfano, ila kuna wengne kwakua tu wanapesa au wazur wanataka kuwa na maamuz sasa sisi ndo atutaki na hii inatoke sana kwa w/ke wenye kaelim kdgo au kpato, hawa wengne ambao hawana ela sana kutucheat wanaongoza INGAWANA CC WANAUME NI CHANZO CHA WANAWAKE KUHANGAIKAsikubaliani sana na wewe wanawake wengi walioenda hapo hawako hivyo sema wanachangamoto kubwa ya kuujua ukweli na hawapendi kuonewa ukiweka ndani lazima mbishane kwa kuwa wako vizuri kichwani sasa wanaume wengi hawapendi challenge wanataka wanawake wa ndio!
na hii ndio gharama ambayo hawaikuijua mwanzo kumbe walitakiwa wakunjue makucha wakifika ndani
umesema vizuri ukweli ni kwamba wanawake hawaeleweki! ndo maana inabidi uonyeshe msimamo siku za kwanza ukikosea imekula kwako! mimi toka zamani napenda wanawake wabishi nawakorofi na ninachofanya nikiwarekebisha maisha yanaenda! hivyo lazima kuwa makini katika kuwamudu wakati naanza niliyenaye sasa ambaye ni mke kuna wakati nilikuwa natafuta sababu ya kukasirika bila sababu ili mradi nimnyooshe tusio kwamba tunapenda wanawake wa ndio, sis tunataka heshima atakama una pesa au elimu ukija kwangu usinipand kichwan , hv unajua kuwa w/ke wana adabu hakuna mfano, ila kuna wengne kwakua tu wanapesa au wazur wanataka kuwa na maamuz sasa sisi ndo atutaki na hii inatoke sana kwa w/ke wenye kaelim kdgo au kpato, hawa wengne ambao hawana ela sana kutucheat wanaongoza INGAWANA CC WANAUME NI CHANZO CHA WANAWAKE KUHANGAIKA
Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?kwa hiyo mleta mada unafurahi kuona dada zetu hawaoleki
hiyo takwim ya NBS au zitto kabwe? weka hapa.
Afu kwao hata kupelekwa shule na gari la baba hajawahi, mara nyingi madem wanaopenda mavitu ya kimuvimuvi hawajayazoea hayo mambo ndiomaana wanataka tuwafanyie km akina angelo na ina, in real life mwanaume mwenye hayo mavitu haitaji kupe wakupiga selfi instagram, tunahtaji real woman a dependable woman anayeheshimika kwa jamii. Sio wa selfie hao watahudhuria tu kongamano afu tunawagoooonga hadi wapate degree za kongamanoWengi wao wamejitakia
Wanataka mume awe na
6 packs
Handsome
Awe na gari
Nyumba
Vyote kwa pamoja
Yule mwenye njano yupo humu kweli nina jambo la kumshirikisha hitaji lake limejibiwa
Baada ya kuangalia hiyo picha vizuri nimepata mshangao kumuona msichana ninayemfahamu.Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.
Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC
View attachment 769257