Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeshiriki maandamano. Kwasasa nakula vuruga ya kuku wa kienyeji niunge mkutanoni.
Safi sana Mkuu Mtazamo maana maisha magumu, umeme mgumu, bei za bidhaa na chakula inapanda sana huku watawala wanakula bata tu.

Maendeleo hayana Vyama.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Mbeya Lin mkuu ninamzuka na mandamano
 
Kwa ukubwa wa jiji la Mwanza, watu hao ni wachache sana.
 
Kwa hiyo mkutano umefanyika Jiji zima na manispaa zake zote?

Kwanza unaumia ukiwa wapi?
Ukisema Mwanza ina maana na vitongoji vyake vyote. Hata ingekuwa ni kitongoji kimoja tu, Mwanza, idadi hiyo ni ndogo sana. Ingawaa kwa sasa hivi CCM itapata shida sana kupata kura za kanda ya Ziwa, hata CHADEMA hijafanya kazi nzuri kuvuna kura hizo.
 
CCM hawakubali ukweli kwamba wamechokwa na wananchi Sema Watanzania ni wastaarabu. Wangejaribu na wao kuwasikiliza wananchi kistaarabu matakwa yaoπŸ€”
 
Ukisema Mwanza ina maana na vitongoji vyake vyote. Hata ingekuwa ni kitongoji kimoja tu, Mwanza, idadi hiyo ni ndogo sana. Ingawaa kwa sasa hivi CCM itapata shida sana kupata kura za kanda ya Ziwa, hata CHADEMA hijafanya kazi nzuri kuvuna kura hizo.
Endelea kuteseka.....wenzako wameshamaliza kazi
 
Kwa kilichotokea Mwanza, maandamano ya CHADEMA yatapigwa marufuku maeneo mengine nchine
 
Endelea kuteseka.....wenzako wameshamaliza kazi
Ninaijua Mwanza vizuri sana; nina nyumba mbili pale pamoja na contacts kibao. CCM sasa hivi haioendwi tena Mwanza kama zile enzi za Magufuli, tena inachukiwa sana kutokana na kero mbalimbali zilizoongeza siku za hivi karibuni, lakini chuki hiyo dhidi ya CCM bado haijajitokeza kuwa ushindi wa CHADEMA. Sana sana ni kwamba inawezekana watu wengi hawatapiga kura, jambo ambalo halitaisaida CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…